Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Nawaambia Wananchi wa Kenya, mjindae, mfunge mikanda!
Kwa dalili na maneno ninayosakia Mh William Rutto ni wazi kabisa anakuja kufanya kazi, kwanza hataki kabisa siasa za kinafiki, Rutto anakuja na itikadi kama za Magufuli! Kama ni Kinyesi cha Ng'ombe atakuambia hiko ni kinyesi usile na katu hawezi kubadilika kuwa uo ni mkate we kula tu hauna shida.
Wakenya Mjindae maana watu wa namna hii ni wazuri sana ila kuna jamii fulani za watu huwa hawawapendi maana huwa wanabaniwa mambo yao ni hivo uandaa kila aina mikakati eidha kumkwamisha au kumuondoa kabisa.
Mwisho kabisa atataka watu wa hali chini wawe na haki sawa matajiri hapa sasa ndo patawakwaza wale ambao wenye sauti, malalamiko yatazidi sana ila mlindeni Rais wenu anaepashwa kesho ama sivyo mtamkosa kama tulivyomkosa Magufuli Tanzania.