Wakenya Mjiandae kufunga mkanda! Rutto sawa na Magufuli

Wakenya Mjiandae kufunga mkanda! Rutto sawa na Magufuli

Akiwa tofauti na wenye nacho watammaliza hata awe na nguvu zipi

Watu wanakula nchi miaka halafu uwabadilishe waishi kama mashetani weeeee
Watakulia timing hata miaka 5
 
Ameshawaliza kwa kuondoa ruzuku kwenye mafuta na chakula Sasa Kenya kuanzia next week mafuta itakua elfu tano ya Tanzania. Shetani Magufuli alimtumia sana Mungu kuiba na kuua watu. Ruto ni zaidi ya ukatili wa Magufuli. Yaani nyang’au wataisoma namba. Wataita maji mmmaaaaa.
 
Magufuli alikuwa mbaya kwa mafisadi na wanaharakati koko na mataahira kama wewe!
 
Mwisho kabisa atataka watu wa hali chini wawe na haki sawa matajiri hapa sasa ndo patawakwaza wale ambao wenye sauti, malalamiko yatazidi sana
Hivi mleta mada unaujua vizuri utajiri wa Willium Ruto? Huyu jamaa ni tajiri mkubwa sana na siku zote "tajiri" hawezi kuwabana matajiri wenzake. Ruto sio maskini kama alivyokuwa Magufuli. Ruto ni mfanyabiashara na ataambatana na Wafanyabiashara wenzake kwenye Utawala wake. Hizo "porojo" za kutetea wanyonge zilikuwa ni unafiki tu wa kisiasa wakati wa kampeni ili kujipatia kura za hao wanyonge.
 
Kuwatawala mabepari kwa mwendo kama wa magufuli ni ngumu. Ile style ni kwa wajinga waliolelewa kwenye mfumo wa ujamaa.

Huyo Ruto watampasua nusu kwa nusu akileta pigo za magufuli.

Kenya rais sio mungu kama huku tanzania.
 
Back
Top Bottom