Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Acha bangi zako weweYule alikuwa balaa kwa nchi yetu, imagine Mungu asingeingilia kati [emoji848][emoji848]
Matozo na matakataka kama wewe visingekuwepoYule alikuwa balaa kwa nchi yetu, imagine Mungu asingeingilia kati [emoji848][emoji848]
Magufuli alikuwa mbaya kwa mafisadi na wanaharakati koko na mataahira kama wewe!Ameshawaliza kwa kuondoa ruzuku kwenye mafuta na chakula Sasa Kenya kuanzia next week mafuta itakua elfu tano ya Tanzania. Shetani Magufuli alimtumia sana Mungu kuiba na kuua watu. Ruto ni zaidi ya ukatili wa Magufuli. Yaani nyang’au wataisoma namba. Wataita maji mmmaaaaa.
Ukila nyama ya mtu huwezi acha mpaka uwale wote, jua hata wew angekula tu. Mungu ni mwema aiseeMatozo na matakataka kama wewe visingekuwepo
Mimi nimeuliza imagine Mungu asingeingilia katiAcha bangi zako wewe
Hivi mleta mada unaujua vizuri utajiri wa Willium Ruto? Huyu jamaa ni tajiri mkubwa sana na siku zote "tajiri" hawezi kuwabana matajiri wenzake. Ruto sio maskini kama alivyokuwa Magufuli. Ruto ni mfanyabiashara na ataambatana na Wafanyabiashara wenzake kwenye Utawala wake. Hizo "porojo" za kutetea wanyonge zilikuwa ni unafiki tu wa kisiasa wakati wa kampeni ili kujipatia kura za hao wanyonge.Mwisho kabisa atataka watu wa hali chini wawe na haki sawa matajiri hapa sasa ndo patawakwaza wale ambao wenye sauti, malalamiko yatazidi sana