WAKENYA MKATAENI RAILA

Huu uzi ni ulitakiwa kulenga siasa za Kenya bila ya kujikita kwenye ukada wa mtu mmoja dhidi ya mwingine
Mbaya zaidi mmeanza matusi kiufupi hata title ya uzi huu haikutakiwa kuwa hiyo walau tungepata undani wa siasa za Kenya na kuwajua vizuri wagombe
Mmeharibu thread
 
Nemo judex na retired avheni lugha chafu nyie VIP mnajisikiaje sasa kupeana mitusi.achen Mara moja
 
Wakenya nawaonya, mkataeni Raila. Birds of the same feathers fly together. Angalia marafiki wakubwa Raila, ni wapi. Tafakari, mtajuta! Afadhali Uhuru na mapungufu yake !
Hii kazi ya kupiga propaganda ni yako kweli au umevamia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…