Huu uzi ni ulitakiwa kulenga siasa za Kenya bila ya kujikita kwenye ukada wa mtu mmoja dhidi ya mwingine
Mbaya zaidi mmeanza matusi kiufupi hata title ya uzi huu haikutakiwa kuwa hiyo walau tungepata undani wa siasa za Kenya na kuwajua vizuri wagombe
Mmeharibu thread