Gesi inauzwa kila pahali nai halafu jamaa anawaambia watu wasiende job...Kiwanda cha Raila Spectre international kilipiga kazi kama kawaida, sasa mimi kajamba ndio nisusie kazi yangu?
Odinga ni mnafiki sana .Anasema atawainua maskini halafu analeta siasa za kuhujumu uchumi,anataka maskini kibera kususia kazi wakati yeye na watoto wake wanaishi kwa starehe.Gesi inauzwa kila pahali nai halafu jamaa anawaambia watu wasiende job...
Huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki sana...