Wakenya mlienda Job?

Wakenya mlienda Job?

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
10,965
Reaction score
5,339
Kulikuwepo na wito toka kwa Mgombea aliyeshindwa kuwa msusie kazi hiyo jana je mliitikia? Hapa kwetu ukisusia kazi tunakata jina tunaweka mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naisubiri habari hii kwa hamu sana.Sijui walikwenda au la?Ila wakenya nawaaminia sana,hawana unafiki kama wabongo
 
Jana niliwaona wachache wakisema, wao lazima waende job kwani kazi ya kupiga kura wameikamilisha tayari na kama wasipo enda job, hao wagombea hawata wapelekea chakula wakale na familia zao
 
Angewapa mikataba ya kazi mpya halafu ndo akawaambia hivyo, yeye hata kwa kutoa hilo tangazo yuko kazini, anataka kuwatia wenzie ujinga
 
Unataka tusiendange majob watoto wataendaje kwa cho😵dinga atapeleka wao?
 
Kiwanda cha Raila Spectre international kilipiga kazi kama kawaida, sasa mimi kajamba ndio nisusie kazi yangu?
Gesi inauzwa kila pahali nai halafu jamaa anawaambia watu wasiende job...

Huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki sana...
 
Gesi inauzwa kila pahali nai halafu jamaa anawaambia watu wasiende job...

Huyu jamaa ni zaidi ya mnafiki sana...
Odinga ni mnafiki sana .Anasema atawainua maskini halafu analeta siasa za kuhujumu uchumi,anataka maskini kibera kususia kazi wakati yeye na watoto wake wanaishi kwa starehe.
 
Back
Top Bottom