Kama kawa umeenda kujitungia story yako bila ushahidi wowote!!!!! Djibouti wanashikilia Doria eneo ambalo hata halina alshabaab! Ushawahi sikia Djibouti wakipigana na alshabaab wewe? wanamgambo wa Alhu Sunna waliwafukuza Alshabaab huo upande wa Kaskazini na baada ya Uganda kuingia Somalia Alshabaab walihamia Kusini na HQ yao kuu ilikua ni KIsmayu...
Alafu hapo unaposema Jeshi la Amisom lilipounda kila nchi ilipewa eneo maalum... Hivi unajua Amisom iliundwa lini? Hivi unajua Ddibouti,Ethiopia na Kenya zilijiunga lini na Amisom??? Haya maaeneo yamegawanywa vitofauti kila wakati nchi mpya inajiunga na Amisom, Kitambo kulikua na wanajeshi wa Siera leaone sahii hawapo tena!
Hebu tuangalie tena Sector 1 na 5 za Uganda na Burundi,
Linganisha na maeneo yaliyo na AMisom ndani ya Sector 1 na 5, Je wamefanyikiwa kusafisha Sector 1 na 5 kweli???
Hilo eneo la kaskazini unaona ni kina nani ndo wanalinda???? Hao ni wanamgambo wa Kisomalia ! Hakuna jeshi limemaliza wanamgambo wa alshabaab hapo Somalia kuliko KDF, kwanini usijiulize vipi kiongozi wa alshabaab aliamuru vita vya JIhad dhidhi ya nchi ya Kenya pekee, ilihali kuna nchi nyingi zilizo na wanajeshi huko Somalia? Hivi kwanini usijiulize kwanini Alshabaab ina kitengo spesheli cha wanajeshi cha kushambulia wanajeshi wa KDF na Kenya pekee.
The Islamic administration of Al-Shabaab that controls Somalia's southern regions of Jubba has on Sunday declared holy war on Kenya over reports that Nairobi is training Somali troops.
Sheikh Hussen Abdi Gedi, Al-Shabaab's second in command in the southern port city of Kismayo said his group has received reports of planned offensives from the Kenyan side, urging the regions' residents to prepare for holy war.
Hakuna nchi nyengine ilioko huko Somalia ambayo alshabaab ishawahi kufanya hivyo , mbona usijiulize kwanini
Alafu hakuna nchi 'iliochaguliwa' kujiunga na Amisom, Amisom imepewa mamlaka na AU,