MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Bitter truth.Tafiti nyingi zinakadiria kwa kasi ya sasa ya ukuaji wa uchumi kwa nchi za Kenya na Tanzania zinaoneosha kama kila kitu kikiendelea kama kilivyo,basi mwaka 2022 Kenya itaipokeza Tanzania kijiti kwa kuwa nchi yenye uchumi mkubwa A.Mashariki,huku tafiti nyingine zikidai uenda hali hiyo ikatokea mapema zaidi.
Wakenya wa JF je mko tayari kisaikolojia kuipokea hali hii?
Wewe ndiye Daudi Bashite?
Ni bora mkaichukulia hii kwa jicho pana, sio la kubeza hata kidogo! BBC, DW, na media nyingine kubwa za nje wameandika khs hili!Can anyone bring a reasonable thread? kwani leo watz vipi? nimeona vile mmeleta mambo ya architecture ya bunge, mara mambo ya My Lord mkazabwa makofi mazito na wakenya... hoja zimkwisha ama? yaani nyuzi zinakuwa 'case closed' ktk ukurasa wa kwanza....😀😀
Tafiti nyingi zinakadiria kwa kasi ya sasa ya ukuaji wa uchumi kwa nchi za Kenya na Tanzania zinaoneosha kama kila kitu kikiendelea kama kilivyo,basi mwaka 2022 Kenya itaipokeza Tanzania kijiti kwa kuwa nchi yenye uchumi mkubwa A.Mashariki,huku tafiti nyingine zikidai uenda hali hiyo ikatokea mapema zaidi.
Wakenya wa JF je mko tayari kisaikolojia kuipokea hali hii?
Anza hii hoja wakati Tz itakapo ongoza Kenya kwa per capita GDP na per capita income.Hata Nigeria wana GDP kubwa lakini wengi wanaishi vibaya zaidi kiafya ,kwa elimu na life expectancy.Tafiti nyingi zinakadiria kwa kasi ya sasa ya ukuaji wa uchumi kwa nchi za Kenya na Tanzania zinaoneosha kama kila kitu kikiendelea kama kilivyo,basi mwaka 2022 Kenya itaipokeza Tanzania kijiti kwa kuwa nchi yenye uchumi mkubwa A.Mashariki,huku tafiti nyingine zikidai uenda hali hiyo ikatokea mapema zaidi.
Wakenya wa JF je mko tayari kisaikolojia kuipokea hali hii?