MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tafiti nyingi zinakadiria kwa kasi ya sasa ya ukuaji wa uchumi kwa nchi za Kenya na Tanzania zinaoneosha kama kila kitu kikiendelea kama kilivyo,basi mwaka 2022 Kenya itaipokeza Tanzania kijiti kwa kuwa nchi yenye uchumi mkubwa A.Mashariki,huku tafiti nyingine zikidai uenda hali hiyo ikatokea mapema zaidi.
Wakenya wa JF je mko tayari kisaikolojia kuipokea hali hii?
Wakenya wa JF je mko tayari kisaikolojia kuipokea hali hii?