GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
PEPO # 1.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Kiongozi Mkuu wa Upinzani wa Umoja wa Vyama vinavyounda NASA Raila Odinga anajiandaa Kuapishwa kama siyo Kujiapisha rasmi tarehe 31 kuwa Rais wa Kenya wakati tayari Kikatiba na Kidemokrasia Kenya imeshapata Rais wake ambaye ni Uhuru Kenyatta na hata dunia yote inajua na kutambua hivyo.
PEPO # 2.
Kwa muendelezo ule ule wa hali zisizo za kawaida ni hivi karibuni tu kama siyo majuzi Wagonjwa waliolazwa katika Hospitali Kubwa na ya Taifa ya Kenya iliyopo Jijini Nairobi ambao wengi wao ni Wajawazito wamewalalamikia Madaktari wa Hospitali hiyo Kuwabaka mara kwa mara. Mmoja wa Mhanga wa hili tukio ni Mwanamama mmoja ambaye alisema kwamba ikiwa mida ya Saa 8 Usiku akienda Kujisaidia huku akiwa amemuacha Kitandani Mtoto wake mchanga ghafla alishtukia Daktari mmoja akimfuata na kuanza harakati za kutaka Kumbaka ila alijitahidi Kujiokoa na yule Daktari hakuweza kufanikisha ungumbaru / ujinga wake.
PEPO # 3.
Kwa mshangao mkubwa kabisa imegundulika kwamba Abiria wa Matatu ( Tanzania Daladala na Uganda Kamunye ) nchini Kenya hasa wale wenye Umri mkubwa ( Wazee ) ndiyo wanaoongoza kwa Vitendo vya Kuwachafua kwa nyuma Abiria wa Kike pindi wanapokuwa safarini katika Jiji la Nairobi. Taarifa imeeleza zaidi kwamba hawa Wazee hupendelea mno kupanda Matatu / Daladala / Kamunye ambazo zimejaa sana na wakipanda hupendelea mno kujisogeza jirani na Abiria wa Kike kisha wakati Gari linaenda na Wao huwakaribia kwa ukaribu kabisa hao Abiria wa Kike na kuanza kugusisha Mikuyenge yao kisha Kuwakojolea / Kuwachafua kwa Shahawa / Madhiwa.
PEPO # 4.
Hili ni tukio ambalo kiukweli ndiyo limeonyesha kwamba Wakenya kuna tatizo linawakabili na mnahitaji msaada wa haraka vinginevyo mtajiharibia zaidi. Ni leo tu Dereva mmoja wa Daladala amesababisha Ajali mbaya ambayo imesababisha na Yeye pia hivi ninavyoandika uzi huu alazwe Hospitali kwa matibabu zaidi baada ya Kulazimisha kumla ' denda ' Kumnyonya mate Abiria wa Kike ambaye alikuwa jirani yake na kujisahau kwamba alikuwa njiani akiendesha Gari.
Wakenya bhana!!!!!!!
Nawasilisha.