The African Pablo
Member
- Jul 18, 2019
- 33
- 32
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisaAti "Lion king is an inspiration for Tz" Since when did Hell's Gate National Park become Tanzanian to inspire this movie?
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa
1. Eti .....nmasema Ati
2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye
3.?
4.?

Una uhakika??Wamejazana JF kujifunza kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mmejaribu sana, na hicho kiingereza kibovu, eti Lion King is an inspiration from Tanzania. Alafu hastag ndio umeua! Eti unzipTz, unajua ku'unzip' ni kufanya nini? [emoji23]
Una uhakika??
Kire kiswahiri chenu cha rara sarama? Afadhali mnifunze kiingereza basi100%
Kire kiswahiri chenu cha rara sarama? Afadhali mnifunze kiingereza basi
Kire kiswahiri chenu cha rara sarama? Afadhali mnifunze kiingereza basi
Ghaseer wewe .Hujaona vile mwenzio wilson255 ameandika hapo juu?Mnifunze[emoji777]
Mnifundishe[emoji736]
Hapo ulipoandika kikamba , ingekuwa ni kiswahili ungeandika ( Ambao) IngependezaUme mquote mwenzako badala ujibu hilo swali..sasa kw ujinga wako unakwepa mada...
Ama wataka nikuletee watanzania (wenye )hawajui kiswahili..
[emoji1][emoji1][emoji1] Hapo umeninasa, nilinuia kuandika hashtag. Nimepata jombaa? Nimesharekebisha, shukran.We mwenyewe kiingereza chako kibovu vilevile..."hastag" ndo mdudu gani!
Wanaongea kiswahili kama wanarudi rivasHivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa
1. Eti .....nmasema Ati
2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye
3.?
4.?