Wakenya mmetuangusha wana Afrika Mashariki

Joined
Jul 18, 2019
Posts
33
Reaction score
32
Movie imetumia theme ya Kiswahili,
Ina sounds za Kiswahili
Kampuni ya Kenya imeshiriki katika prodn.
Leo mmekaa kimya wasanii wa Nigeria kujaza Playlist ya movie inayozungumzia utamaduni wa wana A/Mashariki. Bora ya watanzania tumejaribu, shame on you!
Screenshot_20190719-175357~2.png
 
We do not squabble over trivial matters. That is why it is not important to us.
 
Ati "Lion king is an inspiration for Tz" Since when did Hell's Gate National Park become Tanzanian to inspire this movie?
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa

1. Eti .....nmasema Ati

2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye

3.?

4.?
 
Wamejazana JF kujifunza kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa

1. Eti .....nmasema Ati

2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye

3.?

4.?
 
Ume mquote mwenzako badala ujibu hilo swali..sasa kw ujinga wako unakwepa mada...
Ama wataka nikuletee watanzania wenye hawajui kiswahili..
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa

1. Eti .....nmasema Ati

2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye

3.?

4.?
 
Aisee mmejaribu sana, na hicho kiingereza kibovu, eti Lion King is an inspiration from Tanzania. Alafu hastag ndio umeua! Eti unzipTz, unajua ku'unzip' ni kufanya nini? [emoji23]

We mwenyewe kiingereza chako kibovu vilevile..."hastag" ndo mdudu gani!
 
Ume mquote mwenzako badala ujibu hilo swali..sasa kw ujinga wako unakwepa mada...
Ama wataka nikuletee watanzania (wenye )hawajui kiswahili..
Hapo ulipoandika kikamba , ingekuwa ni kiswahili ungeandika ( Ambao) Ingependeza
 
Mkenya anatabia ya kujisikia na kiingereza kumzidi hata mwingereza. Mnashida nyie watuu
 
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa

1. Eti .....nmasema Ati

2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye

3.?

4.?
Wanaongea kiswahili kama wanarudi rivas
 
Back
Top Bottom