My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Mbona hata English yao ni ya kuunga na Supa gluu, hivi wanajua lugha gani hawa watu?Wamejazana JF kujifunza kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata English yao ni ya kuunga na Supa gluu, hivi wanajua lugha gani hawa watu?Wamejazana JF kujifunza kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wanajua hata kiingereza hao? Kiingereza Wanachojua ni cha kuandika tu, lakini kuongea na kusoma hawajui kabisaMkenya anatabia ya kujisikia na kiingereza kumzidi hata mwingereza. Mnashida nyie watuu
Kwani wanajua hata kiingereza hao? Kiingereza Wanachojua ni cha kuandika tu, lakini kuongea na kusoma hawajui kabisa
Hivi ninyi wakenya, wasomali, na wahindi Kiswahili chenu huwa mnajifunzia wapi? Ninyi asili yenu ni wapi? mmekaa nasi Afrika mashariki miaka kibao lakini kiswahili hambadiliki kabisa
1. Eti .....nmasema Ati
2. Kumpa mtu kitu.....mnasema amepeana yeye
3.?
4.?