Wakenya mmezidi sana mnawataka nini Watanzania aah!

Wewe unaumwa kichwa si bure, hebu nenda kwa specialist wa vichaa a check kama huko sawa kichwani mwako.
Huyo Anajipendekeza Apate kuungwa mkono na Vibendera Wakupuuzwa tu
 
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
Duuh mkuu umetuchoka, Bashite sisi Tz hatumtaki tunawapa ninyi Kenya awe wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
😄😄😄 We Jamaa acha kutukwaza 😂😂😂
 
Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom