Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Wana shobo sana hao mashoga wa Kikenya. While nobody in TZ gives a F*** about them.
Huyo Anajipendekeza Apate kuungwa mkono na Vibendera Wakupuuzwa tuWewe unaumwa kichwa si bure, hebu nenda kwa specialist wa vichaa a check kama huko sawa kichwani mwako.
Huu ni ujinga ndo maana hutembea peku katikati ya Nairobi.Tupunguze maneno hebu angalia hii [emoji116]
View attachment 1329183View attachment 1329184View attachment 1329185
obvious ni utani tu sema wabongo tunapenda kuyakuza.. Nawapongeza sana awa jirani zetu wa kenya, sio kwenye utani tu ila wapo vizuri katika kusifia vyakwao ila siye tupo nyuma nyuma tu kama mkia wa kondooWakenya wanafanya utani
Akili ndogo eti wanafanya utani, unaelewa vizuri mawanda ya Google duniani kote, hapo Kenya inasomwa na dunia nzima marketing strategy nzuri mno.Wakenya wanafanya utani
Duuh mkuu umetuchoka, Bashite sisi Tz hatumtaki tunawapa ninyi Kenya awe wenuHuyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
Watamrudisha baada ya masaa mawili tu π€£π€£π€£Hahahahahaha Basi tumewapa, mmetushinda, mchukueni na magufuli ππππ
πππ We Jamaa acha kutukwaza πππHuyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16]Huyo Samatta mababu zake wamezikwa huku Kenya, nafahamu hadi kwao kijijini. Tumewaazima tu ila siku tukimhitaji akatambike, lazima arudi nyumbani, yaani vyote vyenye sifa nzuri Bongo ni vyetu.
Lakini vya ovyoo kama akina Bashite ni vya kwenu, vibaki huko.