Wakenya, mnaona vipi Muungano wa Tanzania, are Tanganyikans duped?

Wakenya, mnaona vipi Muungano wa Tanzania, are Tanganyikans duped?

Pemba and Unguja people usually have an own sibling rivarly, which is normal for any people living in a country, however, all of them normally have a common agreement that their union with Tanganyika was fraudulent and not serving their interest, and they have enacted laws banning Tanganyikans from owning land in that island.

In short, to them, there is no difference between a Tanganyikan and Kenyan, they are all regarded the same as any other visitor. They have their own national IDs, which for a Tanganyikan to obtain must go through crazy processes and most of them are denied.

Hebu read through this thread here

3017481_E33C314B-D18B-4DEF-AE7A-3AA9520263FB.jpeg
Na vile wanashinda humu wakijisifia eti Zanzibar tourism.🤣🤣
 
Wewe pitia hizo nyuzi ucheke usahau shida za kwenu huko.

Hunipa rahaa sana, tena muda huu niko huko napita kimya kimya nikichekelea, uzuri wenyewe kwa wenyewe huongea ukweli bila kuficha au kuremba.
 
Tulia Boss....a country like Rwanda is doing more with the little they have whereas Tanzania is doing little with the many blessings they have.

it's not wether Tanzania is behind her neighbors but rather why is Tanzania not doing more with what they have?
Umegonga penyewe, I couldn't have said it better myself
Jamaa wana kila uwezo wa kuwa bora kiuchumi kuzidi mataifa yote Afrika, ila sijui huwa wana gubu au laana gani hawa au uzembe tu hadi Kenya inawazidi karibia mara mbili kiuchumi.
 
they have a poverty of leadership/ideas

that country will remain average at best until the day they kick CCM out of office.

to progress you need change...change is inherently a risk and destabalising which means CCM will never attempt to make any serious changes which means Tanzania will never make any meaningful progress.

The day they remove CCM from power, Tanzania will takeover this region but until then.... Bongolalas is the modus operandi
 
Oh, sasa hivi ni mmetuzidi kiuchumi, sio kila kitu eh.
Ni nani hao hawana uwezo wa kuwa bora kiuchumi. Kuna wenye guru na laana kama tribalist in this era and age?
 
they have a poverty of leadership/ideas

that country will remain average at best until the day they kick CCM out of office.

to progress you need change...change is inherently a risk and destabalising which means CCM will never attempt to make any serious changes which means Tanzania will never make any meaningful progress.

The day they remove CCM from power, Tanzania will takeover this region but until then.... Bongolalas is the modus operandi

True.... ukisoma hoja za huu uzi hapa chini utaona kuanzia tulipobadilisha uongozi, tulianza kuwaacha Watanzania kiuchumi kwa pengo ambalo limekua likiongezeka kila mwaka mpaka leo hii tupo karibia mara mbili yao.

I need time to read that one properly. interesting
 
Well kwa huku kwetu kila moja anajivutia kamba kwake, nimeona tupate viewpoint kutoka kwa 254.

Muungano haukuwa Takwa la nyerere bali takwa la nchi za kibepari kama uingereza wakihofia nchi za ujamaa zisije zikaichukua Zanzibar na kuwa koloni la ki -socialist!!!!Nyerere kama kijana aliekuwa loyal kw waingreza alitumwa kuichukua Zanzibar iwe chini ya himaya ya kibepari!!Hata Neno Tanzania Lilitengenezwa na wao mabepari

As a result kukawa na serikali 2...Tanzania (Tanganuika + Zanzibar) na Zanzibar..to make it short Tanganyika dissapeared.

The benefits that Zanzibar enjoys ni kama:

Kuweka President au vice president kila term.

Kupata ajira 21% kwenye serikali ya Tz but kwenye ajira za serikali ya Zanziba, Tanzanians from mainland hawapo qualified.

kupewa powerful positions kama governors (tz wanaitwa rc), rpc, millitary colonels, wwakurugenzi, mabalozi, n.k

Kuwa na serikali yao semi autonomous state ambayo ina katiba, rais, vice pesident, ministries, institutions, n.k kwajili yao.

kuweza kumiliki ardhi Tanzania lakini watanzania from mainland hawarusiwi knunua ardhi Zanzibar
Hawa Wazanzibari wamewakalia nyie nyie malazy wa mainland.
 
Na vile wanashinda humu wakijisifia eti Zanzibar tourism.🤣🤣
70% ya watalii wanaoingia zanzibar lazima waende safari Tanganyika pia wapo watanganyika maelfu zanzibar wanaonufaika na biashara ya utalii zanzibar, usilolijua litakusumbua
 
Back
Top Bottom