Wakenya mnatuharibia Kiswahili

wakenya hamtuzidi kiswahili sema tu mko vizuri kiuchumi ndio maana mmeshika nyanja nyingi hata hiyo ya kufundisha lugha ya kimataifa .wewe kama wewe kiswahili unakifahamu lakini kwa kusoma comment yako nimegundua Tanzania umeshatembea sana hadi ukaizoea lugha yetu sisi binafsi tunajua kuwa kwa kenya mombasa tu ndo wanajua kiswahili ila Tanzania karibu wote tunajua kuongea kiswahili fasaha achana na cha makaratasi sisi kielimu bado tuko nyuma. Kwa bongo lafudhi tu ndo tunatofautiana angalia kama wasukuma kiswahili wanajua ila lafudhi ndo tatizo lenu ila kwa kenya wachache waliokijua kiswahili mmewawezesha kukitangaza na kujitangaza nyie kimataifa. Kenyans you so patriotic a lot of things mnavitangaza kama vyenu kimataifa but they belong to us hata hapo unajaribu kuitetea nchi yako acha ukweli ubaki kuwa hivyo kama ulivyo
 
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine.

"NENDA KANIINGILIE"

"VENYE UKIKWENDA"

"SI UKUJE".

Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
Na walivyo na kimbelembele sasa. Yaani huko duniani inaonekana kiswahili asili yake ni huko kwao, eti chao ndio fasaha. Na inasemekana walimu wengi wa kiswahili huko ughaibuni ni wao. Ila waTz na sie tumelala sana! Hawa wenzetu ni wazee wa fursa.
 
Aaa ah! kuna mkuu wa majeshi Mkurya wa JWTZ wakati wa Nyerere akiongea utacheka mpaka basi, unaweza usjue anachoongea jina nimemsahau kidogo!

Mapolisi wenu hawajui kiswahili utasikia aroo! pot turikamate iri richaamaa , ritupe sero!! hawa ni walee walio karibu na Kenya! jirani zetu! wanachanganya Sheng km sisi.
 
Rahaja ni nini mkuu?[emoji23][emoji23]

[emoji1635][emoji1635]
 
Mipaka iliowekwa na wakoloni kwenye mkutano wa Berlin 1884-1885 hakika umefanikiwa kutugawa Waafrika kwa kiasi kikubwa. Siku moja tukitambua Afrika ni moja na watu wake basi tutakuwa tumetoka kwenye ukoloni kwa uhalisia.
 
hakuna chochote acha porojo Kenya hamjui kiswahili cha kitabuni wala cha kuongea.Wakenya wengi wanachokijua ni majivuno
Kweli tunajivuna sana kwa kuwa tuna weza! nyie hata kakitabu tu rahisi ka kuuuz Ulaya . hamna sababu hamjui kujieleza! kwa liingereza mmekalia ujuaji wa kiswahili tuuu! na Ubishi! wenzenu tumekamata soko hata msemeje! huko nje kinajulikana ni chetu! na bado.. mtalia sana!
 
Kwakweli wakenya Kiswahili waache kukiharibu maana sio kwa kuboronga huko wakiwa wanaongea. Eti hamna ngori mazey, yule mdada mcute, makarao, mwenye anajua mahali stima iko Ina produsiwa. N.k ushauri jifunzeni kwanza kabla hamjaanza kuongea.
 
Wakenya wengi huwa free style sana, huu wimbo huwa hata siuelewi maanake umejaa sheng kali

Kwakweli wakenya Kiswahili waache kukiharibu maana sio kwa kuboronga huko wakiwa wanaongea. Eti hamna ngori mazey, yule mdada mcute, makarao, mwenye anajua mahali stima iko Ina produsiwa. N.k ushauri jifunzeni kwanza kabla hamjaanza kuongea.
mnajua kiinglish nyie mbona mna boronga tu km rais
 
Hivi kwanini msiongee English mnayoitambia tu kuliko kuongea Kiswahili mnachotuharibia sana katika matamshi mpaka kuonekana mnatukana muda mwingine.

"NENDA KANIINGILIE"

"VENYE UKIKWENDA"

"SI UKUJE".

Nyi hata mke kwenu mnaita BIBI.
Shamba sana wewe!!! kiswahili siyo mali yenu pekee!! nyani nyie!!! ni mali ya wabantu wooote Africa na Ulaya mpaka Levant, mkitaka anzisheni kilugha chenu!!! muone km mtafwata ndo maana mnaitwa nyani kuumbe ni kweli!!

kaniingilie unashindwa nini kujua hapo nyie mnawaza chini tuuuu!! ndo maana hata kiingereza hamjui! neno simple sana eti si ukuje huelewi nini hapo sasa? unavoona tunakosea ndo ivoivo zanzibar wanaona mnakosea pia!! yani miafrica mnachekana. sijui mna nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…