Wakenya mnatuharibia Kiswahili

Wakenya mnatuharibia Kiswahili

Si mkuje? πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
chiii!... unaona chomo?? baaa!!...kakimbiya uyo bwana wewe! amaaa!...ntu kupenda umaarufu tuuu!! wa bure tu...utajani kuchoma kachoma yeye pekee yake!!amaaa!!!!! Aje ntwara ale ming'oko ya buuuureee!!!
 
Tanzania kukunogea!baaaaa....hapo umeongea kimakonde sio kiswahili tafadhali Sana Mkenya

We bila shaka ni mkenya...ngoja nikurekebishe kidogo...sio kujuwa ni kujua....sio kusema ulimaanisha kuongea.....Hivi wakenya mtajua lini kiswahili fasaha ? Ni nani aliwaroga aisee
Kujua ni kujuwa kama alivyoandika
 
Tanzania kukunogea!baaaaa....hapo umeongea kimakonde sio kiswahili tafadhali Sana Mkenya
Basi dadangu ndo ujue afadhali kenya tunaeleweka!! Kuliko makonde....Lkn dada yule jamaa ako karudia penzi au ndo ntolee!!! Mie ako vizuri naomba sana tuwe!!...ila usiwaamini niamini mie tu...nikikusaliti nichape tu rhuksa!!
 
Sie Tanzania daladala haisubiri abiria!ikitoka imetoka,huyo jamaa atakuwa bado anang'aa sharubi stend... Sisi hatupendi wanaume wa Kenya ni wachoyo na bahili na mkono ya wanawake wa TZ haiwezi kupiga mume ni milaini Sana
 
Heee!! Uchoyo tu!! Basi nitaacha!!! Yaani ukitaka any time ..popote mie nakupa tu.nakususia hiloooo na pia...siwezi kuwa bahili naahidi ...na pesa ya mshahara wangu nakupa unitunzie wewe!!...matumizi yetu unanyofoa hapohapo...nikikiuka unipashe tu ila usinikimbie!!!!
Asa ubahili unatoka wapi...
 
Back
Top Bottom