Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwenyewe gaidi. Ungejiuliza wengine wanawezaje kuishi unapoishi wakiona ujinga wako!
Kenya wasomali ni wengi sana ...kuanzia namanga mpaka city center ni wengi sana
Kenya wasomali ni wengi sana ...kuanzia namanga mpaka city center ni wengi sana
Jeshi la kenya wawake kambi nyingi apo ikiwezekana command ( makao makuu ya jeshi yahamie uko)Wakihama eneo la nchi yao watamuachia nani si ndo litachukuliwa na somalia
Si nautaka au? Njoo basiwe mwanamke[mention]CityHunter1 [/mention] mbona unanisumbua hivi kila uzi lazima unifuatr
Nani kakupa kazi ya sensa huko? Magaidi mnajuana?!milion 2 na ushee
Si nautaka au? Njoo basi
Nani kakupa kazi ya sensa huko? Magaidi mnajuana?!
Umekwazika nikuache?Tangu niingie humu sijaona mtu anashobo kama [mention]CityHunter1 [/mention] [emoji3][emoji3][emoji3]
Ahhhh wapi. Lazima kisamvu nikupashieUnavonitaka kwa nguvu si bure wewe! Kaolewe huko[emoji3][emoji3]
Umekwazika nikuache?
Anikaaaa waogopa nini! Kitanda kweli kilizaa haramuUnataka nikuanike hapa[emoji3][emoji3][emoji3]mji utakua mdogo we mama
We mweyewe moja wapo. Naanza na wewe
Sawa,we si unajidai mjanja? Rwanda achana nako,hatujaongelea maswala ya huko.Mkuu siyo rwanda hapa naona unawataka wanaume kwa nguvu
Sawa,we si unajidai mjanja? Rwanda achana nako,hatujaongelea maswala ya huko.
Wewe,usigeuze mada. Ulizokuwa ukijidai unajua kuandika na kuaminisha watu upuuzi,malizana nazo. Hizo ukizitaka zitakuja tuu. Kama vipi kachote maji ya bombani upunguze jazba kwanzaHuko kwenu si ndo mmeruhusu wanaume kugegedana! usituletee hayo amswala hapa
Wewe,usigeuze mada. Ulizokuwa ukijidai unajua kuandika na kuaminisha watu upuuzi,malizana nazo. Hizo ukizitaka zitakuja tuu. Kama vipi kachote maji ya bombani upunguze jazba kwanza
Unajua una roho nyepesi kama ya sabuni inayotumika bafuni kwa washikaji. Huko Somalia umefuata nini? Ya Somalia yanakuhusu nini? We ndo msemaji wa JF? Wa serikali? Au!?Maada ni kuishi karibu na somalia inabidi uwe na roho ngumu kama mtusi