Wakenya muoneeni huruma huyo Gidhiri man, atapata vidonda vya tumbo, kila mtu anataka kupiga naye picha akila.

Wakenya muoneeni huruma huyo Gidhiri man, atapata vidonda vya tumbo, kila mtu anataka kupiga naye picha akila.

Ni githeri aisee linatamkwa getheri kwa kikikuyu. Huyu jamaa ikifika usiku kazi yake itakuwa ni mbio ya 100mita tu! Maanake githeri chote hicho ni hatari sana kwa afya ya binadamu na hata wanyama!
Huyu Mkikuyu alitumia Githeri kumpigia kampeni Uhuru. Ipo siku utasikia kaalikwa ikulu ya Nairobi.
 
ukachukulia kila mtu anaijua hiyo story .. ndo maana millardayo anatoboa sana..wape kwanza watz kisa cha huyo mtu
Kenyans celebrate the well-prepared [HASHTAG]#GitheriMan[/HASHTAG] voter - BBC News
What I know huyu jama juzi wakati wakupiga kura huko Kenya aliwahi tu kwenye foleni akiwa amebeba makande kwenye kamfuko keupe. Sasa yeye bila kujali nakujua kwamba watu wamependa jinsi alivyo onyesha uzalendo. Kuwahi asubuhi na makande ndo watu wakaanza kumfuatilia. Hadi Akothe nae kampa offer nyingi kulala luxurious hotel na safari kwenye mbuga zawanyama. That's all I know nothing more

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom