Ni githeri aisee linatamkwa getheri kwa kikikuyu. Huyu jamaa ikifika usiku kazi yake itakuwa ni mbio ya 100mita tu! Maanake githeri chote hicho ni hatari sana kwa afya ya binadamu na hata wanyama!
What I know huyu jama juzi wakati wakupiga kura huko Kenya aliwahi tu kwenye foleni akiwa amebeba makande kwenye kamfuko keupe. Sasa yeye bila kujali nakujua kwamba watu wamependa jinsi alivyo onyesha uzalendo. Kuwahi asubuhi na makande ndo watu wakaanza kumfuatilia. Hadi Akothe nae kampa offer nyingi kulala luxurious hotel na safari kwenye mbuga zawanyama. That's all I know nothing more