Kwani pole InaulazimaTatizo huyo Jiwe hajampa Mh.Uhuru Kenyatta "pole"wakati mwenzake Mh.Kenyatta alifanya hivyo wakati wa ajali ya MV Kambarage
Kuna mkenya yeyote ambaye amemlaumu rais Magufuli kwasababu ya shambulizi la jana la Alshabaab? Au ndio umepata fursa ya kuendeleza propaganda zako, na kumtusi rais U.Kenyatta, wakati wa msiba? [emoji15][emoji15][emoji15] Wewe hapo ndio umeanzisha uzi wa kinafik na matusi, ukajibiwa kwa matusi, ngoma droo. Kumbuka, wakenya huwa wanaomboleza pamoja na nyinyi kila wakati msiba unapotokea Tz na rambirambi za kihali na kimali pia huwa wanatuma.
Akitoa pole Inasaidia niniHivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
Kweli ni moto chini tena moto wenye roho ya kishetani sina muda na watu wenye roho za kishetaniAkitoa pole Inasaidia nini
Uone aibu wewe nani!!
Dawa ni kuua hao Wanaume wote huko Somalia kubaki wajane na vibinti tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muda gani inabidi upiye ndo.ihesabike kwamba hajayoa pole?,na akishatoa pole hayo matusi watayameza?Tatizo huyo Jiwe hajampa Mh.Uhuru Kenyatta "pole"wakati mwenzake Mh.Kenyatta alifanya hivyo wakati wa ajali ya MV Kambarage
Ahahahaaaa mkuu unataka kuwanya nini wajane na hao mabinti?Dawa ni kuua hao Wanaume wote huko Somalia kubaki wajane na vibinti tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Una uhakika hajatoa pole kwa Rais Kenyatta? Au lazima mtu akiia simu aandike Tweeter kwamba amepiga simu?Hivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama
Una uhakika hajatoa pole kwa Rais Kenyatta? Au lazima mtu akipiga simu aandike Tweeter kwamba amepiga simu?
Hawajui tuna balozi kule inawezekana ameziwasirisha mwenyewe salam. Hawajui siyo kila salam inatangazwa utatangaza za nchi ngapi??una uhakika JPM hana namba ya UK? fikiria haya mambo yalikuwa yanafanyikaje kabla ya twitter mkuu
Haina maana kwako ww hapo, don't generalize. Kuna watu haya mambo hatuwazi.Tupo zama tofauti mkuu,hata kqa hili me naona sio ishu nlcomment hta kwa msigwa labda wamepitiwa ila pole hasa kwny mitandao ina akisi ujirani wetu,ss zama hzi akimtumia barua posta au akimpgia private call bila press release haina maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuropaHivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
SawaHaina maana kwako ww hapo, don't generalize. Kuna watu haya mambo hatuwazi.
Sent using Jamii Forums mobile app