Wakenya: Mwacheni Magufuli, aliyeshidwa na kulinda Kenya Ni Uhuru

Kuna mkenya yeyote ambaye amemlaumu rais Magufuli kwasababu ya shambulizi la jana la Alshabaab? Au ndio umepata fursa ya kuendeleza propaganda zako, na kumtusi rais U.Kenyatta, wakati wa msiba? [emoji15][emoji15][emoji15] Wewe hapo ndio umeanzisha uzi wa kinafik na matusi, ukajibiwa kwa matusi, ngoma droo. Kumbuka, wakenya huwa wanaomboleza pamoja na nyinyi kila wakati msiba unapotokea Tz na rambirambi za kihali na kimali pia huwa wanatuma.

Nyuzi zake zote zimejaa matusi kwa Uhuru, Kenya na Jubilee.
Anapojibiwa na matusi yayo hayo, anafungua uzi mwingine.
 
Hivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
Akitoa pole Inasaidia nini
Uone aibu wewe nani!!
 
Sometimes you just better keep quite......The moment you write or speak your stupidity stings to high heavens
 
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama

Are you a Terrorist?
 
Hivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
Una uhakika hajatoa pole kwa Rais Kenyatta? Au lazima mtu akiia simu aandike Tweeter kwamba amepiga simu?
 
Nawashangaa sana wakenya humu wanamtukana JPM kwa nyuzi fulani fulani nikama ni yeye ana mamlaka ya kulinda wananchi wakenya. Punguzeni jazba. Na kama mnahitaji usaidizi wa kimawazo mtafute maandishi ya Mwalimu nyerere "Non alignment" Movement. Mtajifunza mengi na muokoe mali na maisha inayo potelea somalia. Mkumbuke Tz ilipata pigo la ugaidi 1997 siku moja na ugaidi wa nairobi. Lakini Tz inavyo handle hizi issue ni tofauti sana na kenya. Na matunda ya sera zote mbili zipo wazi kwa kila mtu kuzitazama

Kenya geographically ni waathirika tayari, Tanzania ipo mbali etc
 
una uhakika JPM hana namba ya UK? fikiria haya mambo yalikuwa yanafanyikaje kabla ya twitter mkuu
Hawajui tuna balozi kule inawezekana ameziwasirisha mwenyewe salam. Hawajui siyo kila salam inatangazwa utatangaza za nchi ngapi??
 
Tupo zama tofauti mkuu,hata kqa hili me naona sio ishu nlcomment hta kwa msigwa labda wamepitiwa ila pole hasa kwny mitandao ina akisi ujirani wetu,ss zama hzi akimtumia barua posta au akimpgia private call bila press release haina maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina maana kwako ww hapo, don't generalize. Kuna watu haya mambo hatuwazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyu Magufuli ana roho gani chafu hivi. Mimi naona aibu kwa kusikia hata mpaka sasa hajatoa pole kwa ndugu zetu Wakenya waliopatwa na janga ili?
Uhuru kweli ni Rais wa watu maana kila tukipatwa janga uwa ni wa kwanza kutoa pole na wakati mwingine kutoa msaada. Huyu Rais wetu ana matatizo gani jamani niambieni. Wakati mwingine unaweza ukajikuta unaropa na kusema ni roho ya kichawi
Endelea kuropa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom