Wakenya nahitaji maoni yenu kuhusu kauli hii; "Nitajenga viwanda vya nguo na Tanzania tutakuwa tunapeleka mitumba yetu Ulaya"- Ahadi ya Rais JPM(2016)

Hahahaha wewe huwajui watanzania na namna wanavyoongea na hujui sense of humor ya Magufuli, so nyamaza, Magufuli akisema atauza mitumba ulaya haimaanishi atafanya hivyo kweli bali anamaanisha atafanya vice-versa ya kinachoendelea sasa maana yake hatutavaa mitumba na hilo tayari lipo kwenye pipeline
 
Naona umeanza kubadilisha gia angani. [emoji38] Tangaza msimamo jombaa na utulie hapo hapo hadi mabeberu yatakapoanza kuvalia mitumba yenu. 😁
 
Naona umeanza kubadilisha gia angani. [emoji38] Tangaza msimamo jombaa na utulie hapo hapo hadi mabeberu yatakapoanza kuvalia mitumba yenu. 😁
kaeni mkao wa kupokea bidhaa za mitumba kutoka Tanzania
 
Yaani unaliuza swali kuhusu Tz kwa Kenya. Kama ni utumbo basi we utumbo mpana.

Waje huku kujibu wame ji sanitizi?
 
Mawazo yanoyoonekana ya kijinga mara nyingi huleta ufumbuzi, ulaya ni kubwa tunaweza kuvisha waliochoka pia
Muwavishe mitumba yenu? Jombaa, sio kwa makwapa ya watz. [emoji1] Achilia mbali changamoto zingine za kibiashara kama demand. Daudi Mchambuzi unapitwa na burudani hili la mwaka. Wanakwaya ndio hawa wameshatinga jukwaani.
 
Muwavishe mitumba yenu? Jombaa, sio kwa makwapa ya watz. [emoji1] Achilia mbali changamoto zingine za kibiashara kama demand. Daudi Mchambuzi unapitwa na burudani hili la mwaka. Wanakwaya ndio hawa wameshatinga jukwaani.
mipango inasukwa na imeiva, kaa tayari kupokea mitumba kutoka Tanzania
 
Sauti zao zinakera hadi wanaomsifia anachukia
Hahaa! 😀 Sifia sifia za aina hii hadi kwenye mambo ya ajabu ajabu zinahitaji moyo kwa kweli. Moyo wa kutosa akili zako zote baharini na kuzisahau kabisa, tena bila kusitasita. [emoji1]
 
Eti kisa unalima pamba ndio ujione kila kitu. Eti anaetengeneza machine za hivyo viwanda vya nguo ndio umuone si lolote eti wewe mlima pamba ndio umuuzie mitumba. Kati ya mlima pamba na mtengeneza technology ya viwanda vya nguo yupi ni bora?

mkuu,amini bongo tumekosa viongozi makini tu lolote linawezekana,juzi nilikuwa natazama clouds kuna kiwanda cha nguo kinatengeneza jeans za Levy nk hapa Bongo alafu zinapelekwa kuuzwa Ulaya nk nilishangaa sana kwamba zile jeans wanazovaa ma star wa ulaya zinatoka hapa. tatizo jiwe ni mropokaji tu lakini kama angekuwa ni kiongozi makini na anakaa na wapinzani wanajadiliana kwa hoja leo angekuwa ametufikisha mbali kwenye ndoto zake za viwanda.
upinzani wakichukua nchi mwaka huu wajikite kwenye viwanda tutafika mbali sana
 
Upinzani agenda yao ni ushoga, huwezi kuifananisha mavikunuka na kitimotomo, shtuka
 
mkuu,mwaka huu jamaa kapwaya sana
Yaani wewe kwa akili yako unafikiri kuna kiongozi yeyote wa upinzani anaweza kufanya robo tu ya miradi Magufuli kafanya kwa miaka 5? Hakuna mpinzani nchi hii mwenye akili hata chembe ya aliyonayo Magufuli

Wapinzani hao waliosema tuondoe pesa kwenye miradi mikubwa ya umeme na sgr tukanunulie barakoa? We jamaa ni zezeta kweli
 

mkuu,umeelewa nilichosema ? mimi sijasema wapinzani wana hoja nzuri kuliko Jiwe,nimesema Jiwe kapwaya.hukunielewa nilichoandika Boss
 
mkuu,umeelewa nilichosema ? mimi sijasema wapinzani wana hoja nzuri kuliko Jiwe,nimesema Jiwe kapwaya.hukunielewa nilichoandika Boss
Hakuna mpinzani yeyote wa kukaa na Magufuli kumshauri chochote
Honestly speaking mpinzani pekee ambae alikua anakuja vizuri kabla ya kutekwa na mabeberu na kuondoa kabisa uzalendo ni Zitto

Zitto IQ yake ni nzuri ila ameharibu kwa kukosa uzalendo tu, ila wapinzani hso wengine wote ni zero brains

Ukisoma manifesto ya ACT kidogo ina kitu, chadema ni utopolo mtupu na sijui hata kama watapata wabunge wawili awamu hii.
 

mkuu,unachoongelea hapa ni ile comment yangu ya pili.tulikua tunaongelea hiyo comment yangu ya kwamba jiwe amepwaya,mantiki yangu ni kwamba hoja za sasa za jiwe hazifai kuzungumzwa na mtu wa hadhi yake yani kwa kufupi anaongea mambo ya ajabu sana,ukimchukua jiwe wa 2015 umshindanishe na jiwe wa sasa,jiwe wa 2015 atashinda uchaguzi.kwa mfano leo anasema barabara zinasaidia kutufikishwa ukweni haraka,mara anasema matiti tunayo hivo tuzae tu ,mara juzi anamsifia urembo mke wa mtu (samia) .mkuu ukiweka ushabiki wa vyama pembeni unadhani haya maneno ni sahihi kutamkwa na kiongozi ?
NB
mimi sipo chama chochote
 
Magufuli anaongea lugha ya watu wa mtaani, watu wa chini, wanyonge, hiyo ndio lugha inaweza vuta attention, Magufuli sio wa kuandikiwa hotuba asomee wananchi kama insha, yule anaongea uhalisia wa maisha ya kawaida kabisa na hiyo ndio caliber yake.
 
Hawatakuelewa hata kidogo hawa. Uongozi wa ngazi za juu kabisa, kama urais, una hadhi yake flani ambayo haifai kuvurugwa hata kidogo. Washauri wake wanamfeli big time, either kwa uoga wao, kimakusudi au iwe ni washamba kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…