mkuu,unachoongelea hapa ni ile comment yangu ya pili.tulikua tunaongelea hiyo comment yangu ya kwamba jiwe amepwaya,mantiki yangu ni kwamba hoja za sasa za jiwe hazifai kuzungumzwa na mtu wa hadhi yake yani kwa kufupi anaongea mambo ya ajabu sana,ukimchukua jiwe wa 2015 umshindanishe na jiwe wa sasa,jiwe wa 2015 atashinda uchaguzi.kwa mfano leo anasema barabara zinasaidia kutufikishwa ukweni haraka,mara anasema matiti tunayo hivo tuzae tu ,mara juzi anamsifia urembo mke wa mtu (samia) .mkuu ukiweka ushabiki wa vyama pembeni unadhani haya maneno ni sahihi kutamkwa na kiongozi ?
NB
mimi sipo chama chochote