Wakenya namba tatu duniani kwenye michango, utoaji na ukarimu - mtameza tu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Najua ngumu kumeza, lakini ndivyo ilivyo. Utafiti uliofanywa duniani umeorodhesha Wakenya kama namba tatu kwenye
- Kuwasaidia watu wasiowajua
- Utoaji wa michango kwa jamii na wasiojiweza
- Kujitolea kwenye kazi za jamii bila kutegemea malipo

La kushangaza hakuna jirani yetu yeyote ambaye yupo kwenye ishirini bora, yaani nchi yetu pamoja na ukame wote huu na kwamba ni ndogo na hatuna madini lakini tunajituma na kutia bidii na pia kupata nafasi ya kujitolea kwa jamii. Baraka zinatumiminikia kila siku.

Wanasiasa ndio hutuangusha tu.....Mungu ibariki nchi yetu....

give.jpg

https://www.cafonline.org/docs/defa.../cafworldgivingindex2017_2167a_web_040917.pdf
--------------------------------------------

Description
This eighth edition of the World Giving Index again presents giving data from across the globe over a five year period (2012-2016). The World Giving Index 2017 includes data from 139 countries that was collected throughout 2016. A full explanation of the methodology used is included in the appendices.

CAF World Giving Index 2017 | APO
 
View attachment 583112

Wow report nzuri sana hii. Majirani huwa wanasema Wakenya wana roho mbaya sijui watasema nini wakisoma hii ripoti. Kenya Kwanza mchango wa harambee hakuna anayetushinda
 
Dunia nzima inajua Tanzania ilichokifanya katika miaka ya 1960s hadi mwishoni mwa miaka 1980s, ilipofungua milango yake kuwakaribisha waafrika wenzetu waliokua wanauliwa na kukojolewa na wazungu katika nchi za kusini mwa afrika, kama hiyo haitoshi, Tanzania aliamua kusimamisha shughuli zote za maendeleo na kupigana bega kwa bega na majeshi ya ukombozi mwa nchi hizo hadi zilipopata uhuru.

Kwa kufanya hivyo Tanzania iliwakasirisha mabwana wa kibepari na vibaraka wao wakaamua kutuwekea vikwazo vya uchumi ili tukate tamaa na kuachana na harakati za ukombozi, lakini kutokana na tunavyothamini UTU wa binadamu tuliendelea kuwasaidia na hatukumsikiliza wala kuwalamba miguu hao mabwana wakubwa, tulijitolea kidogo tulichonacho na zaidi ya yote tulitoa uhai wa watu wetu, katika kipindi kigumu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii, huu ni mfano wa kuigwa na dunia nzima.

Kwa sasa Tanzania ni kipindi cha kujenga uchumi wake, na wale ambao hawakuwa na muda wa kusaidia kipindi kile ambacho msaada ndiyo ulikua unahitajika zaidi, nao ni muda wao muafaka japo angalau kujirudi na kufanya mambo mema hapa duniani, japo impact ya misaada kwa sasa si kubwa kwa sababu sio unique, nchi yoyote inaweza kutoa inavyojisikia. Hongereni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa wakenya wana moyo wa kutoa na kusaidia watu wasiowajua.

Kama mara tatu nimewahi kukaa siti moja na mkenya kwenye bus, siyo watu waongeaji sana lakini kila tulipofika wanakouza chakula mara zote waliniuliza kama wanaweza kunipatia chochote.

Hata tulipopatwa na tetemeko la Kagera ndio waliokuwa watu wa kwanza kutusaidia.

Bravo Bravo Kenyan's.
 
Najua ngumu kumeza, lakini ndivyo ilivyo. Utafiti uliofanywa duniani umeorodhesha Wakenya kama namba tatu kwenye
- Kuwasaidia watu wasiowajua
- Utoaji wa michango kwa jamii na wasiojiweza
- Kujitolea kwenye kazi za jamii bila kutegemea malipo

La kushangaza hakuna jirani yetu yeyote ambaye yupo kwenye ishirini bora, yaani nchi yetu pamoja na ukame wote huu na kwamba ni ndogo na hatuna madini lakini tunajituma na kutia bidii na pia kupata nafasi ya kujitolea kwa jamii. Baraka zinatumiminikia kila siku.

Wanasiasa ndio hutuangusha tu.....Mungu ibariki nchi yetu....

View attachment 583112

https://www.cafonline.org/docs/defa.../cafworldgivingindex2017_2167a_web_040917.pdf
--------------------------------------------

Description
This eighth edition of the World Giving Index again presents giving data from across the globe over a five year period (2012-2016). The World Giving Index 2017 includes data from 139 countries that was collected throughout 2016. A full explanation of the methodology used is included in the appendices.

CAF World Giving Index 2017 | APO

Sasa swali rahisi kama ni hivyo kwa nini Nairobi imejaa chokoraa? Watoto wenye umri wa kwenda Shuleni wanashinda jalalani wakivuta gundi, huo moyo wa kujitoa na kusaidia uko wapi? Unaweza kunielezea hiyo paradox?
 
Huwa wanasaidiwa sana kama hulijui hilo. Nairobi tuna omba omba wengi kutoka huko Tanzania huwa tunawasaidia bila kujali asili yao.
 
Dunia nzima inajua Tanzania ilichokifanya katika miaka ya 1960s hadi mwishoni mwa miaka 1980s, ilipofungua milango yake kuwakaribisha waafrika wenzetu waliokua wanauliwa na kukojolewa na wazungu katika nchi za kusini mwa afrika, kama hiyo haitoshi, Tanzania aliamua kusimamisha shughuli zote za maendeleo na kupigana bega kwa bega na majeshi ya ukombozi mwa nchi hizo hadi zilipopata uhuru.

Kwa kufanya hivyo Tanzania iliwakasirisha mabwana wa kibepari na vibaraka wao wakaamua kutuwekea vikwazo vya uchumi ili tukate tamaa na kuachana na harakati za ukombozi, lakini kutokana na tunavyothamini UTU wa binadamu tuliendelea kuwasaidia na hatukumsikiliza wala kuwalamba miguu hao mabwana wakubwa, tulijitolea kidogo tulichonacho na zaidi ya yote tulitoa uhai wa watu wetu, katika kipindi kigumu sana kiuchumi, kisiasa na kijamii, huu ni mfano wa kuigwa na dunia nzima.

Kwa sasa Tanzania ni kipindi cha kujenga uchumi wake, na wale ambao hawakuwa na muda wa kusaidia kipindi kile ambacho msaada ndiyo ulikua unahitajika zaidi, nao ni muda wao muafaka japo angalau kujirudi na kufanya mambo mema hapa duniani, japo impact ya misaada kwa sasa si kubwa kwa sababu sio unique, nchi yoyote inaweza kutoa inavyojisikia. Hongereni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa imebaki stori mimi na weweeeeeeee.
 
Kama ilivyobaki stori ya Yesu na Mohammad, lakini bado tunawaabudu na tutaendelea kuwaabudu, kuna mambo duniani hayawezi kusahaulika hadi mwisho wa dunia, hayo ni mambo makubwa toka kwa great Nations/great personalities.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usipotoshe watu humu kwa kuandika usiyoyajua. Muhammad (PBUH) haabudiwi kwani yeye siyo Allah. Tukirudi kwenye mada faida gani kama taifa tumezipata kwa kutumia rasilimali zetu kuwasaidia hao wengine kukomboa mataifa yao zaidi ya kujitia umasikini tu? Cha ajabu hao tuliowasaidia leo hii hawatuthamini kwa lolote.
 
Waulize hao wakenya wanaojisifia kwa kutoa misaada, ni faida gani wanayoipata kwa kuwa namba tatu duniani kwa kutoa misaada wakati kwao watu wanakufa na njaa kule Turkna, samahani kama nyinyi hamumuabudu Mohammad, sisi tunamuabudu Yesu. Kuhusu kutoa misaada bila kujali malipo, hiyo ni tabia na mambo yanayofanywa na kutendwa na watu wenye akili kubwa tu, si wote wenye uwezo wakufikiria mambo makubwa, kwa hiyo ninakuelewa vizuri sana katika hili, great personalities ni chache sana duniani, ninahisi wewe si miongoni mwao. Kumbuka ukitoa misaada na kutegemea malipo, huo sio msaada tena, ila unafanya biashara.

Naomba kuwakilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni kweli, wakenya hivo ndivo tulivo, ukiwa na jirani zako huku Kenya bora usiwe na mbea afu ushughulike na maisha yako. Ukijipata kwenye shida hutakosa wengi wa kukusaidia! Mungu aibariki nchi yangu tukufu ya Kenya
 
Huwa wanasaidiwa sana kama hulijui hilo. Nairobi tuna omba omba wengi kutoka huko Tanzania huwa tunawasaidia bila kujali asili yao.

Kama ingekuwa ni kweli Kenya ni namba moja Duniani kwa kusaidia kusingekuwa na chokoraa, achana na omba omba wa Tanzania, watoto wa Kikenya wenye umri wa kwenda Shule wakishinda jalalani, jamii inayojali watu wake haiwezi kuruhusu hili!
 
Nimekuambia wanasaidiwa, unafaa ufahamu tunawapa kidogo tulicho nacho maana hatuna madini na raslimali nyingi maana nchi yetu ndogo na robo pekee yake ndio ipo na rotuba. Kawaida ukiwa na kidogo na utoa kwa moyo wote utakua upo bora, zaidi ya mwenye raslimali za kila aina lakini mchoyo na roho nyeusi na chafu, huyo ataishia kuwa maskini hadi siku atajua umuhimu wa kutoa.
 
Kenya ina uwezo wa kuondoa wale watoto chokoraa barabarani Mara moja kama wakiamua!
 
Kuna wale hata ukiondoa vipi wanarudi, ipo siku tuliwakusanya na kuwapeleka kwenye makao ya watoto ambapo tumewekeza sana lakini wakaanza kutiririka mjini mmoja mmoja. Siku nyingine tukakusanya waliotimiza umri na kuwaingiza NYS (kama JKT yenu), hata hawakumaliza wiki, wakakimbia wengi na kurudi barabarani.

Ni shughuli ya kijamii, hata Marekani wapo kwa wale wazungu ambao huwa mnawapa makinikia na wametajirika hadi basi.
 
Sawa basi jipe moyo, nina swali lkn Maraga ni Mjaluo?
 
Back
Top Bottom