Wakenya ndio wanaongoza duniani kufanyia wazungu homework

Kwani wanafanya bure,Hakuna pesa chafu na safi,
Acha vijana wa hustle, tumia bundles zako vizuri si kuingia tu online kuchat kama zuzu
Baki na kiswAhili yako

Aha haa
πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
Sasa wewe kama kwako hela ni hela tu. Itoke kwenye mihadarati, chang'aa, miraa n.k. wewe ni sawa tu. Tutajadili nini? Wakati what these Kenyans mules do is a serious academic offence.
 
Aha haa
πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£
Sasa wewe kama kwako hela ni hela tu. Itoke kwenye mihadarati, chang'aa, miraa n.k. wewe ni sawa tu. Tutajadili nini? Wakati what these Kenyans mules do is a serious academic offence.
Enda Kotini kaka, pesa tunaweka kwenye mifuko
 
Bwahahaaa...bro km ni hyo kazi hata mi pia niliifanyaga sana km side hustle...lkn sai nina shughuli nyingi za kufanya...na sidhani hapa JF km kuna mkenya hajawai piga pesa kupitia hyo dili...tatizo wabongo wengi wametoroka shule..eti kisa usanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute hizo ndo miongoni mwa assignments ninazowapa watoto wa kizungu.

[emoji16][emoji23][emoji1787]
 
Ujinga ni kujivunia na ukombozi lkn bado ni maskini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hku mliyemkomboa anawatunushia misuli wakati rais wao alikuwa bongo na bado anadunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo mengine ni ujinga tu, > 45 million people mnajivunia kuandikia Muzungu essay, WTF?
 
Si heri hii kuliko ile kazi ya kuchomoa betri...elimu mhimu jamaa...si eti una bundles then unakuja zimaliza na ujinga...tumia hela upate hela nanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…