eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kwani wanafanya bure,Hakuna pesa chafu na safi,
Acha vijana wa hustle, tumia bundles zako vizuri si kuingia tu online kuchat kama zuzu
Baki na kiswAhili yako
Aha haa
😁😂🤣
Sasa wewe kama kwako hela ni hela tu. Itoke kwenye mihadarati, chang'aa, miraa n.k. wewe ni sawa tu. Tutajadili nini? Wakati what these Kenyans mules do is a serious academic offence.