Wakenya ni Binadamu wa ajabu sana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Inawezekana vp mtu mmoja tu Raila Odinga tena wala asiye na Cheo chochote kile Serikalini kuisimamisha nchi nzima? Yaani maisha ya watu zaidi ya milioni 40 yanaamuliwa na mtu mmoja tu, Raila Odinga, ina maana akiamua Kenya kuwe na fujo inakuwa hivyo, akiamua Amani inakuwa hivyo, ...
 
Ingekuwa huku kwetu watu wasiojulikana mngeshawatuma
 
Ni kama uchawi hivi....watu wengine hawajielewi
 
Tanzania hawa jamaa waliwafanya ukuta wahairishe maandamano yao
 
Wakenya hawamfuati Odinga;wanafuata anachokisimamia!

Pia wanajitambua.Sidhani watu kama Nkamia,Kibajaji au Pole pole wangesikilizwa wangekuwa Kenya.
 
Kwani lema nasari lijua likali wana akilili gani kama si mazuzu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…