Wakenya ni Binadamu wa ajabu sana!

Wakenya ni Binadamu wa ajabu sana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Inawezekana vp mtu mmoja tu Raila Odinga tena wala asiye na Cheo chochote kile Serikalini kuisimamisha nchi nzima? Yaani maisha ya watu zaidi ya milioni 40 yanaamuliwa na mtu mmoja tu, Raila Odinga, ina maana akiamua Kenya kuwe na fujo inakuwa hivyo, akiamua Amani inakuwa hivyo, ...
 
Inawezekana vp mtu mmoja tu Raila Odinga tena wala asiye na Cheo chochote kile Serikalini kuisimamisha nchi nzima? Yaani maisha ya watu zaidi ya milioni 40 yanaamuliwa na mtu mmoja tu, Raila Odinga, ina maana akiamua Kenya kuwe na fujo inakuwa hivyo, akiamua Amani inakuwa hivyo, kweli ninyi watu ni wasenge wote!
Ingekuwa huku kwetu watu wasiojulikana mngeshawatuma
 
Inawezekana vp mtu mmoja tu Raila Odinga tena wala asiye na Cheo chochote kile Serikalini kuisimamisha nchi nzima? Yaani maisha ya watu zaidi ya milioni 40 yanaamuliwa na mtu mmoja tu, Raila Odinga, ina maana akiamua Kenya kuwe na fujo inakuwa hivyo, akiamua Amani inakuwa hivyo, kweli ninyi watu ni wasenge wote!
Ni kama uchawi hivi....watu wengine hawajielewi
 
Tanzania hawa jamaa waliwafanya ukuta wahairishe maandamano yao
d9075b2988ddd8297e5fed9ef01cd466.jpg
 
Wakenya hawamfuati Odinga;wanafuata anachokisimamia!

Pia wanajitambua.Sidhani watu kama Nkamia,Kibajaji au Pole pole wangesikilizwa wangekuwa Kenya.
 
Kwani lema nasari lijua likali wana akilili gani kama si mazuzu tu
 
Back
Top Bottom