Wakenya ni kichwa ngumu aisee. Hawataki kufuata maagizo yaliyotolewa na serikali

Wakenya ni kichwa ngumu aisee. Hawataki kufuata maagizo yaliyotolewa na serikali

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Diaspora Wametoa zogo walipoambiwa waende quarantine. Nasupport serikali kwa hili. Wakae quarantine 14 days ndio watoke.
 
Hawa ndio wale Wakenya wa diaspora na mimi nilikuwa mmoja wao hivi maajuzi tu. Sasa wametoka nchi za ulaya kisha wakaambiwa lazima waende mandatory quarantine at their own cost. Yaani waende kwa hoteli na wajilipie wenyewe. Uganda ndio walianza hii policy, Kenya pia tunaifuata. Hii policy naiunga mkono kwa sababu inazuia Mkenya wa Kawaida kupata Corona. Wakenya wa diaspora ndio wametuletea corona huku, hata sio tourists ama Chinese, ni hawa tu wanaopiga makelele kwenye hii video. Mimi nasema Serikali ya KE ikae ngumu na hata ikibidi walete GSU ifanye kazi yake. Wakenya tupunguze kichwa ngumu saa zingine. Nchi kama Israel au China zina quarantine na wananchi wao hawapigi kelele. Tuheshimu sheria na maagizo. Wangefuata maagizo kama ingetolewa na hizo nchi za ulaya ila kwa sababu imetolewa na nchi yao, hawataki kufuata.

Kuwa makini, utakamatwa kwa kosa la kusambaza habari za uongo Kuhusu Corona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The sense of entitlement among the diaspora community is baffling
 
Mimi nasupport serikali 100% kwa hili. Diaspora wakae quarantine 14 days kwanza, hao ndio wanatuletea corona. Kesi karibu zote za corona zimeletwa na diaspora.
Kenya kwa wakati huu hairuhusiwi kuzungumza lolote Kuhusu Corona, haijalishi unaunga mkono serikali au hapana, kuwa makini sana ndugu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunao nusra nigombane nao wakati nafanya mazoezi asubuhi, matatu inachukua abiria bila kuhakikisha wananawa mikono.
Diaspora wakae huko huko mpaka tuone wapi tunaaelekezwa na hiki kitu, na wanaokuja lazima wapelekwe karantini kwa lazima, serikali imeweka magari maalum kwenye uwanja wa ndege, ukiwasili unachukuliwa moja kwa moja hadi maeneo maalum, uishi huko hadi siku 14 ziishe ndio uruhusiwe ndani.

Halafu wanaoeneza habari za uwongo wajue watakamatwa tu, hilo halina ubishi, huu ni wakati hatari sana, tusiishi kwa mazoea. Siasa ziwekwe pembeni kabisaaaa!!! Uwe unaichukia serikali au unaipenda, hakikisha hudanganyi kwenye mitandao, mtu anapata ujasiri wa kuandika kuhusu vifo vya Corona Kenya....dah watu wana roho.
 
Mkuu nani kakupa mamlaka ya kuzungumzia corona mtandaoni.Je ujasikia tamko la nchi yako?Unajiweka matatani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz Kuna Corona cases lakini bado mikutano ya kisiasa na upigaji siasa zinaendelea Kama kawaida 😂 😂 Sijui vile TPDF(Tanzagiza Peanuts dehuskers Forces) watakabiliana na janga hili.
 
Tz Kuna Corona cases lakini bado mikutano ya kisiasa na upigaji siasa zinaendelea Kama kawaida [emoji23] [emoji23] Sijui vile TPDF(Tanzagiza Peanuts dehuskers Forces) watakabiliana na janga hili.
Tunaiamini Sana "our health system, it will definitely put the situation under control without too much restrictions, remember Tanzania health system is the best in Africa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nani kakupa mamlaka ya kuzungumzia corona mtandaoni.Je ujasikia tamko la nchi yako?Unajiweka matatani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijakuelewa wapi tulikatazwa kuongea kuhusu corona, najua kwenu ndio rais alisema corona ni kaugonjwa na kwamba msitishane, ila kwetu tunaichukulia serious.
 
[emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
Kujieleza ni nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kujieleza, Hahahaha, hahahaha.

Freedom of expression is under quarantine for 30 days, soon will be under total lockdown [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom