Wakenya ni kichwa ngumu aisee. Hawataki kufuata maagizo yaliyotolewa na serikali

Tunaiamini Sana "our health system, it will definitely put the situation under control without too much restrictions, remember Tanzania health system is the best in Africa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mna ventilators ngapi? Mna respirators ngapi? Mna vitanda vingapi vya ICU. Italy ina vitanda zaidi ya 1,300 vya ICU lakini bado wamelewa. Usilete KE vs TZ kwenye corona. Corona sio nyanya yako. Inapiga wazungu kama ndarama za halleluyah unadhani ikifika kwa Waafrika itatufanyia nini? Itatukamua kishenzi. Sisi waafrika hata hatuna ventilators. Hii ni kifo tunangoja tu especially watu wazee
 
You can't defeat Corona at secondary level of prevention, that is what you are talking about those ventilators and ICU, our strength is at primary level, to stop it from infecting many other people without too much restrictions.

Believe me, within two weeks from now, numbers of infected people will start declining in Tanzania without total lockdown or too much restrictions compared to other countries.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mna ventilators ngapi? Mna respirators ngapi? Mna vitanda vingapi vya ICU. Italy ina vitanda zaidi ya 1,300 vya ICU lakini bado wamelewa. Usilete KE vs TZ kwenye corona. Corona sio nyanya yako. Inapiga wazungu kama ndarama za halleluyah unadhani ikifika kwa Waafrika itatufanyia nini? Itatukamua kishenzi. Sisi waafrika hata hatuna ventilators. Hii ni kifo tunangoja tu especially watu wazee
Endelea kuota labda Kenya siyo tz kwanza huo ugonjwa atuuogopi usijisumbue kututisha

Watakufa wakenya wenye maisha ya kizungu sisi tunashi maisha ya Kiafrika bobu!
 
Endelea kuota labda Kenya siyo tz kwanza huo ugonjwa atuuogopi usijisumbue kututisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeona mkuu wa mkoa wenu anashukuru Mungu kwa Corona kumuathiri mwanaye Mbowe, dah! Siasa zenu balaa full chuki, juzi Polepole aliwaita wapinzani Corona.
Halafu naona mwanaye Mbowe kajibu, ila anasema hajatoka nje ya nchi, hivyo kaambukizwa ndani kwa ndani, bado mnatembezena humo humo.
 
Back
Top Bottom