Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
- Thread starter
- #21
Mna ventilators ngapi? Mna respirators ngapi? Mna vitanda vingapi vya ICU. Italy ina vitanda zaidi ya 1,300 vya ICU lakini bado wamelewa. Usilete KE vs TZ kwenye corona. Corona sio nyanya yako. Inapiga wazungu kama ndarama za halleluyah unadhani ikifika kwa Waafrika itatufanyia nini? Itatukamua kishenzi. Sisi waafrika hata hatuna ventilators. Hii ni kifo tunangoja tu especially watu wazeeTunaiamini Sana "our health system, it will definitely put the situation under control without too much restrictions, remember Tanzania health system is the best in Africa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app