Wakenya ni lini mtazaa wakwenu?

Hawa akina TID ndio walikua wanaimba Bongo flavor, siku hizi hamna Bongo tena, wameiga kila kitu kutoka Nigeria, tofauti ni lugha tu.
Wameiga Nigeria wakamix na chakacha ya Kenya. Ndivyo akina Diamond wanavyoimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…