mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Ila jamani na hali ya hewa inachangia pakubwa sana
Tusilaumu tu
Tusilaumu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mambo ya ndege yametoka wapi?Wamesema ukweli wala sio uongo!
Huyo anayecheka ni Jacob Ghost Mulee kocha wa Mpira na alishawahi fundisha hapa Tanzania. Wamesema kweli na wamekiri wao wameshundwa kuingia huko AFCON. Ona dharau zao hapo chini.Ila wamesema ukweli kabisa japo wamechombeza pia na kejeli.
Hakika unafiki ni sehemu ya maisha ya waafrika.
Ni vigumu kuamini kama haya maneno yanazungumzwa na jirani zetu haswaaa.
Ebu wasikilizeni wana jamvi.View attachment 2875911
Kachukueni mizigo yenu ivory cost!Sasa mambo ya ndege yametoka wapi?
Mbona anasema ukweli mtupu. Au ulitaka asifu kitu kibovu?Hakika unafiki ni sehemu ya maisha ya waafrika.
Ni vigumu kuamini kama haya maneno yanazungumzwa na jirani zetu haswaaa.
Ebu wasikilizeni wana jamvi.View attachment 2875911
Ishu za ndege zimeingiaje?Mbona anasema ukweli mtupu. Au ulitaka asifu kitu kibovu?
Hujui utani weye? Soka umeanza kushabikia leo?Ishu za ndege zimeingiaje?
Ukijumlisha na dayaspora wanaocheza ligi za Ulaya vijijiniHili la pasi kutofika ndo lilikuwa linanichefua sana!
Kama kuna mchezaji alijitahidi, basi ni yule beki wa kushoto! Atakuwa no Diaspora yule!
Beki wa kati, kulia, wote bure kabisaa!
Kati hamna kitu, wachezaji hawana mbio kabisaaaa.
Mpira wa BAHASHA na kununua mechi, unatupa matokeo mujarabu kimataifa!
Sasa si unitanie kwenye soka, ndege na soka wapi na wapi?Hujui utani weye? Soka umeanza kushabikia leo?
🤣 hasibu la kiwango umepigaje apoUkijumlisha na dayaspora wanaocheza ligi za Ulaya vijijini
Bwashee hao wamesema ukwel mchungu ambao hatujazoea,ni bora tuwekeze ktk ngoma za asiliKwani wao wako Ivory Coast?
Hizi ni porojo tu, Kenya watu wa daraja la kati ni wengi kushinda Tanzania ila Tanzania walikakaririshwa uongo na wanasiasa kwamba Kenya watu maskini ni wengi kushinda Tanzania wakati sio kweli.ile njaa ipo kenya na maisha mabovu waliyonayo watu wengi ukilinganisha na maisha waliyonayo watz wakenya lazima wawe na chuki... kenya ni nairobi tu...kidogo mombasa..kila mtu dream at nairobi hawana miji mingine yenye uchumi ama mafanikio zaidi ya nairobi...mji hauwatoshi kwa gharama kubwa ya kuishi na kuimiliki nairobi eneo watu wanaishi kwenye appartment za bei kubwa wenyewe wanaita bedsita...au nyumba za mabati...kwa hio kujilinganisha na watz na kufurahi anguko lipo wazi....walishataka kutufukuza huko kwao..