Wakenya ni wanafiki; Tazama wanavyotuchamba baada ya kufungwa na Morocco

Mwanzoni wameanza kwa kusema ukweli kabisa hata mimi sikuona tatizo, ila walipoanza kuingiza mambo ya KQ kupigwa ban anga ya TZ ndio nimeanza kukereka na ndio nikajua this is more than just a joke. Wakenya ni wapinzani wetu na hayo yanayoendelea ni sehemu ya upinzani.
 
Ukweli Mchungu huo.

UWEKEZAJI NDIO SULUHISHO PEKEE KWENYE MPIRA WETU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ila wamesema ukweli kabisa japo wamechombeza pia na kejeli.
 
Ila wamesema ukweli kabisa japo wamechombeza pia na kejeli.
Huyo anayecheka ni Jacob Ghost Mulee kocha wa Mpira na alishawahi fundisha hapa Tanzania. Wamesema kweli na wamekiri wao wameshundwa kuingia huko AFCON. Ona dharau zao hapo chini.
 
Hakika unafiki ni sehemu ya maisha ya waafrika.

Ni vigumu kuamini kama haya maneno yanazungumzwa na jirani zetu haswaaa.

Ebu wasikilizeni wana jamvi.View attachment 2875911

Niwe mkweli jamaa kanichekesha pale aliposema kuwa kuwa alipoona Samatta anatolewa akajua sub ataingia Mandonga mtu kazi aje awapige wamorocco. Aisee nimecheka Sana.
 
Ukijumlisha na dayaspora wanaocheza ligi za Ulaya vijijini
 
Kwani si wanasema ukweli bwana.
Pia wanawasilisha kimzaha.
Utani kawaida.
EA wanaojua mpira na kujitahidi ni Uganda wengine ni ushuzi mtupu.
 
ile njaa ipo kenya na maisha mabovu waliyonayo watu wengi ukilinganisha na maisha waliyonayo watz wakenya lazima wawe na chuki... kenya ni nairobi tu...kidogo mombasa..kila mtu dream at nairobi hawana miji mingine yenye uchumi ama mafanikio zaidi ya nairobi...mji hauwatoshi kwa gharama kubwa ya kuishi na kuimiliki nairobi eneo watu wanaishi kwenye appartment za bei kubwa wenyewe wanaita bedsita...au nyumba za mabati...kwa hio kujilinganisha na watz na kufurahi anguko lipo wazi....walishataka kutufukuza huko kwao..
 
We unabishana na watu wanakula magunzi ya mahindi akili watatoa wapi hao wanajua kuongea kiingereza ndio kuwa na akili.
 
Hizi ni porojo tu, Kenya watu wa daraja la kati ni wengi kushinda Tanzania ila Tanzania walikakaririshwa uongo na wanasiasa kwamba Kenya watu maskini ni wengi kushinda Tanzania wakati sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…