luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Mar 25, 2021 #21 ponopono said: Waganda walikua busy na mamba yao. Hata tv yao ya taifa ilikua inapiga miziki yao. M7 mwenyewe hakuonekana popote kwenye msiba. Uganda wapo mbali sana Click to expand... Sio kweli M7 mbona alienda balozi ya Tz Then tambua rais alikuwa ni wa Tz sio wa Ug so kwao lzm business iendelee as usual
ponopono said: Waganda walikua busy na mamba yao. Hata tv yao ya taifa ilikua inapiga miziki yao. M7 mwenyewe hakuonekana popote kwenye msiba. Uganda wapo mbali sana Click to expand... Sio kweli M7 mbona alienda balozi ya Tz Then tambua rais alikuwa ni wa Tz sio wa Ug so kwao lzm business iendelee as usual
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Mar 25, 2021 #22 Citizen tv wamepeleka mwakilishi wao chato na wapo live sasa iv ...this is pure love tv station kama citizen ina wadhamini kibaooooo ktk vipindi vyao ila kurusha haya matangazo this is Pure love.
Citizen tv wamepeleka mwakilishi wao chato na wapo live sasa iv ...this is pure love tv station kama citizen ina wadhamini kibaooooo ktk vipindi vyao ila kurusha haya matangazo this is Pure love.
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,756 Reaction score 5,250 Mar 25, 2021 #23 ponopono said: Waganda walikua busy na mamba yao. Hata tv yao ya taifa ilikua inapiga miziki yao. M7 mwenyewe hakuonekana popote kwenye msiba. Uganda wapo mbali sana Click to expand... Ndio nasema na kesho uangalie tv au ukuje uwapongeze jirani zako hapo kando
ponopono said: Waganda walikua busy na mamba yao. Hata tv yao ya taifa ilikua inapiga miziki yao. M7 mwenyewe hakuonekana popote kwenye msiba. Uganda wapo mbali sana Click to expand... Ndio nasema na kesho uangalie tv au ukuje uwapongeze jirani zako hapo kando
F faoro JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 798 Reaction score 528 Mar 26, 2021 #24 Lupweko said: Wapo waendesha ligi humu kutoka pande zote, Bongo na Genge. Watakuja kulazimisha mabishano yasiyo na tija Click to expand... mmoja wao ni wewe ...ona sasa mawazo yako
Lupweko said: Wapo waendesha ligi humu kutoka pande zote, Bongo na Genge. Watakuja kulazimisha mabishano yasiyo na tija Click to expand... mmoja wao ni wewe ...ona sasa mawazo yako