Wakenya ninyi ni ndugu zetu wa damu- tunashukuru kwa faraja zenu kwenye msiba wa Magufuli

Wakenya ninyi ni ndugu zetu wa damu- tunashukuru kwa faraja zenu kwenye msiba wa Magufuli

Waganda walikua busy na mamba yao. Hata tv yao ya taifa ilikua inapiga miziki yao. M7 mwenyewe hakuonekana popote kwenye msiba. Uganda wapo mbali sana
Sio kweli M7 mbona alienda balozi ya Tz
Then tambua rais alikuwa ni wa Tz sio wa Ug so kwao lzm business iendelee as usual
 
Citizen tv wamepeleka mwakilishi wao chato na wapo live sasa iv ...this is pure love tv station kama citizen ina wadhamini kibaooooo ktk vipindi vyao ila kurusha haya matangazo this is Pure love.
 
Waganda walikua busy na mamba yao. Hata tv yao ya taifa ilikua inapiga miziki yao. M7 mwenyewe hakuonekana popote kwenye msiba. Uganda wapo mbali sana
Ndio nasema na kesho uangalie tv au ukuje uwapongeze jirani zako hapo kando
 
Back
Top Bottom