Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

Siku zote Kenya na Tanzania wanatofautiana sana katika sera za uchumi, Ujamaa unazingatia maendeleo endelevu ya wananchi na nchi husika, ubepari ni unajali faida tu japo kwa watu wachache, ubepari haujali pesa imepatikanaje, uhalali wa hiyo pesa, inasaidiaje kuendeleza nchi na wananchi kwa ujumla.
 
Tuliza povu we! Mbona mashoga wa Tz wamejaa USA kila kona tu, mmoja huyu hapa bingwa wa hizo kazi, jina lake in juma Ali . palee insta maarufu Sana huyu
 
Point point point...ni kwasababu akili zetu za kushikiwa na wanasiasa
 
Hao wakenya waliotuma pesa hizo siyo wakenya waswahili Bali, ni wakewenya wenye asili ya kisomali waliopo nje na wakimbizi wa kisomali waliopo nje na kuwatumia nduguzao wanaoishi kwenye makambi ya wakimbizi nchini Kenya.
Ikumbukwe kwamba Kenya ina raia wenye asili ya kisomali wapatao karibu million moja, yalivo tokea mapigano ya wenyewe kwa wenye na kusambaratika serikali ya Somalia, ilibidi wasomaliya wakatafuta hifadhi Kenya na ndio hapo nafasi ya wakimbizi kupelekwa nchi za USA, ULAYA na Scandinavia ikawajia ndio hapo wakenya wenye asili ya kisomali wakaanza kujifanya wakimbizi na kujichanganya na ndugu zao wakimbizi wa somalia
 
jizungumzie wewe usizungumzie watu......si kila mtu ajivunii kuwa mtanzania......
 
Reactions: Oii
safi sana wape live
 
hapo umenena
 
Hahaha mkuu umenikumbusha Story ya Emanuel Adebayor, Umaskini unatuaibisha waafrica.
Sipendi kabisa habari za Namna hii maana zimekaa kimaskini sana.
kweli kabisa ni zakinjaa njaa ....ukiona raia wako wengi wanakimbilia nnje ya nchi kutaabika jua kabisa nchi yako bado..ni sawa nawakenya jinsi wanavyozurura nchi za watu na hii yote sababu ya umaskin halafu wakija watajiita middle economy

ni bad condition aisee kama wao wanaona kuishi nnje ya nchi yaani ughaibuni kuliko kwao basi hakuna uzalendo
 
Tuliza povu we! Mbona mashoga wa Tz wamejaa USA kila kona tu, mmoja huyu hapa bingwa wa hizo kazi, jina lake in juma Ali . palee insta maarufu Sana huyu View attachment 608284
huyo ni mkenya mwenzenu toka mombasani anajifanya mtz....

nakingine watz hawana mtindo wakujishow wanapokuwa nnje shida ipo kwenu wakina juakali[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
wakenya niwapuuzi sana yaani huo ndiyo ukweli
 


Kumbe wa Kenya hali mbaya ndo maana wanakimbia nchini mwao.... hahaha
 
Huenda wanasapoti machafuko yanayoendelea sasa si umesikia kuna sehemu waandamanaji wanalishwa ugali kakaandamane.
 
Umeongea kama wajinga kumi pamoja.
 
I wish this was posted in great thinker's forum!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…