Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

Hapa hatuwezi nashindwa kuwapongeza au kutowapongeza, ila kuna kitu cha kujifunza hapa! BOT wawe na utaratibu wa kutoa taarifa hizi kama wanavofanya Kenya na kwingineko, hii itatusaidia kujua wenzetu walioko huko wanawasaidiaje ndg zao huku nyumbani!
 
mimi ni mtanzania wa kuzaliwa niko nje toka 1984, ki kweli serikali imefanya makosa kuhusu uraia pacha
kila mwaka nakuja nyumbani na nasaidia familia kila mwezi , pesa nyingi tnatuma nyumbani japo tunabeba maboksi
 
We jamaa acha uongo kuna mtanzania asiejivunia nchi yake?!!!
 
Wanaingiza shimoni hizo hela, Uhuru Kenya na Raila wanaziunguza fedha zote kwenye chaguzi zisizoisha na Maandamano!
Hata zanzibar alirudia kenya wanakasoro gani au shein alitumia mshahara wake
 
Namimi nitatuma tu,tatizo huku hakuna huduma za tigo pesa.
Tumia apps inaitwa worldremit
Unaweza kutuma direct kwenye ezypesa, before ilikuwa na Tigo, pia unaweza kutuma moja kwa moja kwenye account ya mtu a cash collection, ni rahisi kutumia kuliko western union, halafu charge zake ndogo tu
 
Suala la aina ya kazi haijalishi, unazarau boxes? Kwa week £500. Kwa mwezi 2000, buku inabaki, buku unalipa room kama single £300, matumizi 250,gari £120 includes petrol na insurance, zilizo baki unaruka joka
 
Wanao piga care kwa week £700. Na upuuzi juu, wanao piga demo kwa week 600, kwa saa £10, wanao piga forklift kwa £650 au zaidi, sijui muandishi upo nchi gani
 
Muda huo watanzania waongoza kutuma hela nchi za nje kama vile uswisi shelisheli kupitia mifuko ya lambo na fedha za madafu.
 
mimi ni mtanzania wa kuzaliwa niko nje toka 1984, ki kweli serikali imefanya makosa kuhusu uraia pacha
kila mwaka nakuja nyumbani na nasaidia familia kila mwezi , pesa nyingi tnatuma nyumbani japo tunabeba maboksi

Hamna makosa, huhitaji kuwa na uraia wa nchi mbili ili kufanya hayo unayosema.
 
Wa kwetu sijui wanafanyaga nini uko,wanaishia kuja na vigari used na suti za mitumba,wakifika uku wanashangaa kukuta watu wana magari yenye hadhi,nyumba za maana na maendeleo kibao,nasikia wengi siku hizi wanaona aibu kurudi home,majuu sio mchezo wa jameni
 

Jipe moyo tu na husuda yako. Wanayofanya wanajua watu wa familia zao tu wewe hayakuhusu.
 
TZ tumezinduka juzi juzi tu, hata tukiambiwa ukweli tunakataa, tutabisha ila ukweli bado utabaki pale pale...
 
Worldremit itakufaa kuu
mimi ni mtanzania wa kuzaliwa niko nje toka 1984, ki kweli serikali imefanya makosa kuhusu uraia pacha
kila mwaka nakuja nyumbani na nasaidia familia kila mwezi , pesa nyingi tnatuma nyumbani japo tunabeba maboksi
Na wave pia ni nzuri sana, nenda google play, download, ila itabidi awatumie wenye Mpesa na Airtel Money tu..
Wave - Send money to Africa
 
Nusu ya hiyo hela inakuja Tanzania kunua unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…