Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

Ndio umuhmu wa kuwa na nguvu kazi iliyoelimika, hata wakitoka kwenda nje hawanedi kubeba mabox, wanafanya vitu vya kueleweka na kuishia kutuma hela za kweli nyumbani. Yaani kufikia Agosti wametuma 17.18 bilioni za Kenya (sio pesa madafu).

Dah! Mungu awabariki na kuendelea kuwapa nguvu. Uraia pacha umewezesha pakubwa, wanapewa uraia huko nje lakini uzalendo unabaki wa kwao nyumbani.
---------------------------------------------------------

Kenyans abroad have kept cash remittances healthy with money sent home growing 9.26 per cent in August this year compared with a month earlier.

Monthly data released by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that diaspora remittances reached $166.4 million (about Sh17.18 billion) in August compared with $152.3 million (about Sh15.72 billion) in July this year.

Year on year, the August remittances grew 13.4 per cent from the $146.7 million (about Sh15.15 billion) reported in August last year.

Diaspora remittances, which have become a key support of the Kenya shilling that is under pressure due to low export earnings, stood at $154.8 million (about Sh15.99 billion) in June.

This is a drop on 4.1 per cent compared to the $161.5 million (about Sh16.7 billion) recorded in May this year.

Biggest earner

In April, the remittances stood at $138.6 million (about Sh14.31 billion), six per cent lower than the $147.5 million (about Sh15.23 billion) recorded in March this year.

Remittances have become the country’s biggest source of foreign exchange income, insulating the domestic economy from external shocks by ensuring the steady supply of dollars in the system.

Also, these cash transfers are a major driver for domestic consumption, hence contributing to strong economic growth.

According to a World Bank report, Kenya is among the highest recipients of remittances in Africa.

Remittances grow 9.26 per cent to Sh17 billion in August
Hapa hatuwezi nashindwa kuwapongeza au kutowapongeza, ila kuna kitu cha kujifunza hapa! BOT wawe na utaratibu wa kutoa taarifa hizi kama wanavofanya Kenya na kwingineko, hii itatusaidia kujua wenzetu walioko huko wanawasaidiaje ndg zao huku nyumbani!
 
mimi ni mtanzania wa kuzaliwa niko nje toka 1984, ki kweli serikali imefanya makosa kuhusu uraia pacha
kila mwaka nakuja nyumbani na nasaidia familia kila mwezi , pesa nyingi tnatuma nyumbani japo tunabeba maboksi
 
PATRIOTISM!
Mungu anisamehe, ila JKN alifanya mambo makubwa sana hapa nchini, sina haja ya kuelezea juu ya mchakato husika, yes, hata kujiita Wa-Tz ni kwa sbb yake but, lipo jambo hapa linalohitaji udadavuzi! Nalo ni (question-wise): Ni kwa nini ni vigumu sana kwa Mtanzania kujivunia u-Tanzania wake kama Wakenya wanavyojivunia Ukenya wao?!!!!! This needs to be answered by GREAT THINKERS and not NORMAL Thinkers!
We jamaa acha uongo kuna mtanzania asiejivunia nchi yake?!!!
 
Wanaingiza shimoni hizo hela, Uhuru Kenya na Raila wanaziunguza fedha zote kwenye chaguzi zisizoisha na Maandamano!
Hata zanzibar alirudia kenya wanakasoro gani au shein alitumia mshahara wake
 
Namimi nitatuma tu,tatizo huku hakuna huduma za tigo pesa.
Tumia apps inaitwa worldremit
Unaweza kutuma direct kwenye ezypesa, before ilikuwa na Tigo, pia unaweza kutuma moja kwa moja kwenye account ya mtu a cash collection, ni rahisi kutumia kuliko western union, halafu charge zake ndogo tu
 
Suala la aina ya kazi haijalishi, unazarau boxes? Kwa week £500. Kwa mwezi 2000, buku inabaki, buku unalipa room kama single £300, matumizi 250,gari £120 includes petrol na insurance, zilizo baki unaruka joka
 
Wanao piga care kwa week £700. Na upuuzi juu, wanao piga demo kwa week 600, kwa saa £10, wanao piga forklift kwa £650 au zaidi, sijui muandishi upo nchi gani
 
Ndio umuhmu wa kuwa na nguvu kazi iliyoelimika, hata wakitoka kwenda nje hawanedi kubeba mabox, wanafanya vitu vya kueleweka na kuishia kutuma hela za kweli nyumbani. Yaani kufikia Agosti wametuma 17.18 bilioni za Kenya (sio pesa madafu).

Dah! Mungu awabariki na kuendelea kuwapa nguvu. Uraia pacha umewezesha pakubwa, wanapewa uraia huko nje lakini uzalendo unabaki wa kwao nyumbani.
---------------------------------------------------------

Kenyans abroad have kept cash remittances healthy with money sent home growing 9.26 per cent in August this year compared with a month earlier.

Monthly data released by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that diaspora remittances reached $166.4 million (about Sh17.18 billion) in August compared with $152.3 million (about Sh15.72 billion) in July this year.

Year on year, the August remittances grew 13.4 per cent from the $146.7 million (about Sh15.15 billion) reported in August last year.

Diaspora remittances, which have become a key support of the Kenya shilling that is under pressure due to low export earnings, stood at $154.8 million (about Sh15.99 billion) in June.

This is a drop on 4.1 per cent compared to the $161.5 million (about Sh16.7 billion) recorded in May this year.

Biggest earner

In April, the remittances stood at $138.6 million (about Sh14.31 billion), six per cent lower than the $147.5 million (about Sh15.23 billion) recorded in March this year.

Remittances have become the country’s biggest source of foreign exchange income, insulating the domestic economy from external shocks by ensuring the steady supply of dollars in the system.

Also, these cash transfers are a major driver for domestic consumption, hence contributing to strong economic growth.

According to a World Bank report, Kenya is among the highest recipients of remittances in Africa.

Remittances grow 9.26 per cent to Sh17 billion in August
Muda huo watanzania waongoza kutuma hela nchi za nje kama vile uswisi shelisheli kupitia mifuko ya lambo na fedha za madafu.
 
mimi ni mtanzania wa kuzaliwa niko nje toka 1984, ki kweli serikali imefanya makosa kuhusu uraia pacha
kila mwaka nakuja nyumbani na nasaidia familia kila mwezi , pesa nyingi tnatuma nyumbani japo tunabeba maboksi

Hamna makosa, huhitaji kuwa na uraia wa nchi mbili ili kufanya hayo unayosema.
 
Wa kwetu sijui wanafanyaga nini uko,wanaishia kuja na vigari used na suti za mitumba,wakifika uku wanashangaa kukuta watu wana magari yenye hadhi,nyumba za maana na maendeleo kibao,nasikia wengi siku hizi wanaona aibu kurudi home,majuu sio mchezo wa jameni
 
Jipe moyo tu na husuda yako. Wanayofanya wanajua watu wa familia zao tu wewe hayakuhusu.
 
TZ tumezinduka juzi juzi tu, hata tukiambiwa ukweli tunakataa, tutabisha ila ukweli bado utabaki pale pale...
 
Worldremit itakufaa kuu
mimi ni mtanzania wa kuzaliwa niko nje toka 1984, ki kweli serikali imefanya makosa kuhusu uraia pacha
kila mwaka nakuja nyumbani na nasaidia familia kila mwezi , pesa nyingi tnatuma nyumbani japo tunabeba maboksi
Na wave pia ni nzuri sana, nenda google play, download, ila itabidi awatumie wenye Mpesa na Airtel Money tu..
Wave - Send money to Africa
 
Back
Top Bottom