Wakenya si wa kawaida wanapiga deal mibuyu.

Wakenya si wa kawaida wanapiga deal mibuyu.

Kuanzia kwa mleta nada hadi wachangiaji, sijaona Cha maana mlichozungumuzia!! ndio wakenya wanapiha Dil, kivipi? Mibuyuu hio inafaida gani? na nn matumizi yake tofauti na mabuyu?? Je hiyo mibuyuu inasafirishwa kwenda wapi? Nazani mleta hoja na wachangiaji mngejibu haya maswali, sio kizungumuzia sura ya mtu!!
Tatizo lako wewe kutwa kucha unasikiliza bongofleva tu, habari hii iko BBC. Mchina anatengeneza mbao feki kwa kukandamiza makaratasi kisha anayafunika na fomaika, ndiyo hayo makabati yaliyojaa mitaani, utazimia siku ukisikia mchina anapasua mbao za mipapai!
 
Usikute mibuyu ni sanduku tu la kutoroshea meno ya tembo, au madini, au madawa.
 
Hapaf
Waje dodoma watupunguzie mibuyu maana idadi ya mibuyu ni mingi kuzidi idadi ya binadamu.
Halafu watengeneza ubuyu watakula wapi.
Mmeshindwa kuitumia fursa ya mibuyu.
Mbona ulaya unga wa ubuyu bei mbaya inaweza ikafuta umasikini wa dodoma
 
Hawa jamaa hawajamaliza punda kweli, maana waliwavuna Sana, naona wamehamia kwenye mibuyu
 
Back
Top Bottom