Wakenya someni hii

Wakenya someni hii

Sidhani kama kuna ukweli,wamemuogopa mkena wakatunga hii ya Uganda na Rwanda ili Ku poza wakenya
Wakenya tuwaogope kwa lipi wakati nchi yenyewe inasambaratika kiuchumi na kijamii? wao wenzenu wadhani Magufuli anawachokoza kwa makusudi ili apate sababu za kumsaidia Raila, Uhuru amestika ameamua kutulia na kumuomba Amina Mohamed awe mpole asizidishe uhasama, walichoamua ni kuwafidia wenyezile Ng'ombe, Kenya kwa sasa ni very weak country at every sector
 
Sidhani kama kuna ukweli,wamemuogopa mkena wakatunga hii ya Uganda na Rwanda ili Ku poza wakenya
fuatilia habari hizo ng'ombe za uganda ndo zilianza kukamatwa before za kenya sema wakenya wameitangaza sana ya kwao as if wameonewa
 
Back
Top Bottom