WAKENYA TENA

Hii ni ishara nzuri kwamba waume Kenya ni watu responsible sio kuzaa zaa hovyo kama jirani fulani waliofika millioni 57 na wengine karibu sasa millioni 100. Hongera sana waKenya bora tumalize umaskini kwanza.

Hehehe,
Kama una demu mzuri naomba niwe jirani yako. Wakati unamaliza huo umasikini naweza kukusaidia kutimiza Majukumu,
Ila hakikisha yuko Paratable[emoji39]
 
Hamna wa kumcheka mwingine kwa hili. Wanawake wenu wanaweka tumbaku ili kujiridhisha bila kufahamu ya kwamba wanahatarisha maisha yao. Hawa wanaoandamana ni afadhali.Si mara ya kwanza kuandamana.. Sijui wanawake wa kiambu walirogwa na nani 😒
Tumbaku? acha kutunga maneno kubalini tuwatumie vijana full stop.
 
Mmesahau kwamba wanawake wa Rombo huwa wanatulipa sisi wanaume wa Kenya tulio mipakani ili tuje tuwa'nyandue'? Alafu kule kanda la ziwa wenzao nao wanatia ugoro kwenye sehemu zao nyeti kwasababu wamekosa wanaume wa kuwa'thiokora'.
 
hao wanawake hawahitaji kuzaa wanakiu ya mapenzi. Semeni tu mmekwama muombe msaada msaidiwe kama Tulivyowasadia kwa kuwauzia mahindi basi tuwatumie vijana wakafanye kazi.
Hatutaki cross breeding na mbegu za reja reja za chini. Our fresian "cows" need to stay as champion breeds hata afadhali hawa wapate polygamous men wa jamii yao.
 
Hatutaki cross breeding na mbegu za reja reja za chini. Our fresian "cows" need to stay as champion breeds hata afadhali hawa wapate polygamous men wa jamii yao.
Nadhani ulilala bila kula. Kati ya 254 na 255 wapi mbegu za reja reja?
 
Hii ni ishara nzuri kwamba waume Kenya ni watu responsible sio kuzaa zaa hovyo kama jirani fulani waliofika millioni 57 na wengine karibu sasa millioni 100. Hongera sana waKenya bora tumalize umaskini kwanza.
Sababu ya uongo.

Kama swala ni kuzaa nyinyi njia za kuzuia mimba hamzijui? Kama hamzijui si muwaombe China wawaekekeze
 
Sasa mtu una njaa,maisha magumu ,unaishi kwa kibanda....utaTOmbaje sasa??
 
Hatutaki cross breeding na mbegu za reja reja za chini. Our fresian "cows" need to stay as champion breeds hata afadhali hawa wapate polygamous men wa jamii yao.
Sio hivyo tu, watz wengi wafupi wafupi wasiharibu breed.
 
MiTz ni mimbilikimo wataharibu highbreed ya wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…