game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Hii ni ishara nzuri kwamba waume Kenya ni watu responsible sio kuzaa zaa hovyo kama jirani fulani waliofika millioni 57 na wengine karibu sasa millioni 100. Hongera sana waKenya bora tumalize umaskini kwanza.
Hehehe,
Kama una demu mzuri naomba niwe jirani yako. Wakati unamaliza huo umasikini naweza kukusaidia kutimiza Majukumu,
Ila hakikisha yuko Paratable[emoji39]