Wakenya tuendelee kukumbatia Uchina ili kuepukana na adhabu wanayopokea wenzetu wa Tanzania

Wakenya tuendelee kukumbatia Uchina ili kuepukana na adhabu wanayopokea wenzetu wa Tanzania

Afrika bado tuko kwa Ukoloni. Tunafaa kuungana na kukataa hii western influence and make it clear Kwamba Ushogha ni hatia hapa Africa kama vile polygamy na FGM ni illegal kwao. They should learn how to respect Other people's Culture.
Mabalozi wote wa Tanzania wanaoiwakilisha kwenye mataifa yaliyo ndani ya muungano wa Ulaya wameamrishwa na hao wazungu mara moja kila mmoja aende kwenye nchi husika na kuitetea Tanzania ili kuepukana na adhabu wanayoendelea kuipa Tanzania.

Pamoja na kwamba huwa tunataniana humu na Watanzania lakini hii imeanza kuniuma balaa, kwamba hawa wazungu mbona huwa wamefumba macho kwenye nchi za waarabu ambapo mashoga huchinjwa kabisa tena kwa mujibu wa sheria za nchi, kwanini likija kwa Afrika huwa wanapiga makelele utadhani mashoga wanauawa kwa halaiki. Mawaziri wa Tanzania wamejitokeza na kujitetea na kusema ilikua kauli ya mkuu wa mkoa lakini jamaa wanaendeleza kipodo na vurugu bila kuachia.

Hili la ushoga pona yetu rais Uhuru alilijibu kwa kutumia akili alipobanwa mbele ya Obama, maana kama naye angebwatuka naona tungechezea mateso wanayopitia wenzetu. Yeye alisema sio kipau mbele kwa sasa kwenye nchi yetu, tuna mengine mengi ya kuwaza, nafikiri kama angefyatuka kama wabongo eti tutawafuata mashoga mlango kwa mlango, hatungepona.

Kwa nguvu inayotumika dhidi ya Tanzania ni wazi kuna lingine, sio bure, maana hata Museveni alipofyatuka, alinyamazishwa na yakaisha, hawakuendelea kumfuata fuata, lakini kwa Tanzania wamekomaa, ni kama walikua wanasubiri mlango wa kuingilia, hadi nashuku chokochoko yote hii ina kauhusiano fulani na suala la makinikia.

Nadiriki kusema Wakenya tujilinde kwa kukumbatia Uchina likija suala la ufanikishaji wa miradi yetu, wale huwa hawafuatilii unachokula au unaishi vipi, kufikia sasa tumeona walivyofanikiwa kukamilisha miradi mikubwa ndani ya nchi yetu, tujiondoe kabisa kwenye kumi na nane ya hawa wazungu maana ni maisha ya utumwa kabisa.

Hii hapa taarifa ya jinsi wameamrisha mabalozi wote wa Tanzania wakajitetee na kubembeleza Tanzanias ambassadör i Sverige kallad till UD
 
MK254

Ahaaa haaa haaa
dawa siyo kukumbatia waChina, dawa ni full continental economic autonomous. pale bara letu litakapoacha kutembeza bakuli ndiyo itakuwa mwisho wa SISI KUAMBIWA NA WENGINE WHAT TO DO AND WHAT NOT TO DO.
TUTAJIAMULIA KUFANYA CHOCHOTE BILA KUINGILIWA.

Hapa lazima tuelekezwe na kuamrishwa amrishwa tu hamna namna, japo inatia uchungu lakini ndio ukweli, yaani kabla tuje kujikwamua itachukua muda sana, bila kibakuli utajenga miundo mbinu kwa kutumia nini. Hela za ndani can only go so far, kwanza wenyewe hatupendi kulipa ushuru, kila mmoja wetu anatafuta jinsi ya kukwepa, makajanja yamejaa mjini, mtu anapiga hela ndefu lakini ushuru halipi.
Inatia hasira sana kuona hawa wazungu wanavyopigia kelele na kulazimisha tutakavyoishi humu baina ya jamii zetu lakini wao kila siku wanapeana talaka, yaani hata ndoa za kawaida zimewashinda.
 
inasikitisha kuona kwamba bado Afrika haijamjua adui wake ni NANI. mara makonda mara wafadhili mara mashoga. ni shida kutojua what's a continent quest.
 
Afrika bado tuko kwa Ukoloni. Tunafaa kuungana na kukataa hii western influence and make it clear Kwamba Ushogha ni hatia hapa Africa kama vile polygamy na FGM ni illegal kwao. They should learn how to respect Other people's Culture.
they are not forcing it down our throats, we just too stupid to reject. Besides there has been countless attempts to bring this continent together but each time we've failed. Remember Nyerere and Kamau had a row just because Nyerere wanted EA to be a federation? Nyerere and Nkurumah also because of the Union of Africa. It would have been easy when we were just gaining indepence but now it's almost impossible. We've been ideologically divided, Tanzania and Kenya may reject everything but Ghana is too weak into imperialism and will accept.
Our people are too stupid to think coming together is civilization, look at what's happening in Zanzibar for example. If only we had the brains of thinking like the European Union.
 
Hapa lazima tuelekezwe na kuamrishwa amrishwa tu hamna namna, japo inatia uchungu lakini ndio ukweli, yaani kabla tuje kujikwamua itachukua muda sana, bila kibakuli utajenga miundo mbinu kwa kutumia nini. Hela za ndani can only go so far, kwanza wenyewe hatupendi kulipa ushuru, kila mmoja wetu anatafuta jinsi ya kukwepa, makajanja yamejaa mjini, mtu anapiga hela ndefu lakini ushuru halipi.
Inatia hasira sana kuona hawa wazungu wanavyopigia kelele na kulazimisha tutakavyoishi humu baina ya jamii zetu lakini wao kila siku wanapeana talaka, yaani hata ndoa za kawaida zimewashinda.
Wachina ule mchezo wanao kitambo sana, hawajahalalisha ndoa tu, ila kumegana China ruksa. Mchezo umeanza kabla hata hawajavuka mipaka enzi hizo za dynasties. Watawageuza mkiwakumbatia.
 
E681F261-05ED-4442-8E83-F245E85EDCA9.jpeg
 
Siezi panic. Mungekuwa mbele yetu ningepanic sana,,,ila hatujasimama tukiwangoja. Mtajua hamjui
Umeongea kinyonge sanaaaaa😂😂😂😂Kumbe unajua tupo kwa 180 km/hr. Nasubili mtapo privatise mashirika yenu.
 
Mabalozi wote wa Tanzania wanaoiwakilisha kwenye mataifa yaliyo ndani ya muungano wa Ulaya wameamrishwa na hao wazungu mara moja kila mmoja aende kwenye nchi husika na kuitetea Tanzania ili kuepukana na adhabu wanayoendelea kuipa Tanzania.

Pamoja na kwamba huwa tunataniana humu na Watanzania lakini hii imeanza kuniuma balaa, kwamba hawa wazungu mbona huwa wamefumba macho kwenye nchi za waarabu ambapo mashoga huchinjwa kabisa tena kwa mujibu wa sheria za nchi, kwanini likija kwa Afrika huwa wanapiga makelele utadhani mashoga wanauawa kwa halaiki. Mawaziri wa Tanzania wamejitokeza na kujitetea na kusema ilikua kauli ya mkuu wa mkoa lakini jamaa wanaendeleza kipodo na vurugu bila kuachia.

Hili la ushoga pona yetu rais Uhuru alilijibu kwa kutumia akili alipobanwa mbele ya Obama, maana kama naye angebwatuka naona tungechezea mateso wanayopitia wenzetu. Yeye alisema sio kipau mbele kwa sasa kwenye nchi yetu, tuna mengine mengi ya kuwaza, nafikiri kama angefyatuka kama wabongo eti tutawafuata mashoga mlango kwa mlango, hatungepona.

Kwa nguvu inayotumika dhidi ya Tanzania ni wazi kuna lingine, sio bure, maana hata Museveni alipofyatuka, alinyamazishwa na yakaisha, hawakuendelea kumfuata fuata, lakini kwa Tanzania wamekomaa, ni kama walikua wanasubiri mlango wa kuingilia, hadi nashuku chokochoko yote hii ina kauhusiano fulani na suala la makinikia.

Nadiriki kusema Wakenya tujilinde kwa kukumbatia Uchina likija suala la ufanikishaji wa miradi yetu, wale huwa hawafuatilii unachokula au unaishi vipi, kufikia sasa tumeona walivyofanikiwa kukamilisha miradi mikubwa ndani ya nchi yetu, tujiondoe kabisa kwenye kumi na nane ya hawa wazungu maana ni maisha ya utumwa kabisa.

Hii hapa taarifa ya jinsi wameamrisha mabalozi wote wa Tanzania wakajitetee na kubembeleza Tanzanias ambassadör i Sverige kallad till UD
Debt-trap allegations push China to tighten reins on foreign aid programme

  • New regulation calls for better risk assessment and improved management of overseas investment projects
  • Document comes amid rising criticism of infrastructure spending that some observers say has left recipient nations mired in debt

fbcaf132-e7ed-11e8-bfde-9434090d4df7_1280x720_185927.jpg

Laura Zhou

Beijing has drafted a new regulation designed to improve the management of its foreign aid programme amid allegations it has engaged in debt-trap diplomacy and that some of its investment projects have failed to benefit local communities.

The document, titled “Measure for the Administration of Foreign Aid”, was published on the website of the China International Development Cooperation Agency (CIDCA), which was set up earlier this year to evaluate and administer the nation’s aid programme. It will remain available for public comment until late December.
Botched railway in Africa a warning to belt and road investors
The document calls for the CIDCA and other government agencies involved in overseas investment to fully evaluate the projects with which they are involved. Its publication comes amid growing criticism of Beijing’s massive infrastructure investment across Asia, Africa and parts of eastern and central Europe that some observers have said has burdened recipient nations with debts they will never be able to repay.
fc3a9bea-e7ed-11e8-bfde-9434090d4df7_1320x770_185927.jpg

While Beijing insists it does not attach political conditions to its investments or interfere in the internal affairs of recipient countries, it has been accused of using projects, especially those under its “Belt and Road Initiative”, to raise both its profile and influence around the world.
Even within China, questions have been raised about so-called vanity projects, such as luxury government buildings and sports stadiums, that come with massive price tags but do little to benefit the communities in which they are built.
One example of this is Mattala Rajapaksa International Airport in Sri Lanka, the South Asian island’s second-largest. Paid for by Beijing and built by Chinese contractors, the facility was designed to handle 1 million passengers a year, but in 2016 welcomed just 5,000.

Tian Feilong, an associate professor at Beihang University’s law school in Beijing, said the new regulation was most likely a reaction to the obstacles China was facing with projects under the belt and road plan, President Xi Jinping’s pet project to create new trade and infrastructure links across Asia and into Africa and Europe.
“Projects under the belt and road are usually implemented in a way that puts politics first,” he said.
But the fact projects were driven by government policy meant they lacked proper risk assessment and were badly managed, he said.
“This has hampered the effectiveness of Chinese aid, raised questions about its legitimacy and triggered allegations of [Beijing conducting] debt-trap diplomacy.”
China promises more economic aid for Pakistan, but won’t yet commit to specific pledges
Marina Rudyak, an assistant professor at Heidelberg University in Germany who researches China’s foreign aid programme, said the introduction of an evaluation system could be a “very important step” for Beijing, but only if it was independent of the government.
“Self-evaluation can lead to a conflict of interest, which is the reason why most so called traditional donors insist on independent evaluation of aid projects,” she said.
Established in March, the CIDCA – which reports to the State Council, China’s cabinet – is widely seen as part of Beijing’s efforts to strengthen its strategic planning and consolidate the management of its foreign aid programme, which comes in various forms, including grants, and interest-free and concessional loans.
China shakes up old order of Western donors with surge in aid to Africa
According to figures from AidData, a research facility at William Mary University in the United States, China allocated US$81 billion to its foreign development programme between 2000 and 2014, making it the world’s second-largest donor after the US.
Last month, US President Donald Trump signed a bill to create a new foreign aid agency with authority to provide US$60 billion in funding for developing nations. And in an apparent bid to offset China’s rising influence in the Asia-Pacific region, Australian Prime Minister Scott Morrison said last week that Canberra would offer US$1.5 billion in the form of grants and low-cost loans for infrastructure development projects in Pacific nations.

This article appeared in the South China Morning Post print edition as: debt-trap claims lead to foreign aid move

Source:Debt-trap allegations push China to tighten reins on foreign aid
 
MK254 . Yaani umenena ukweli mtupu. Tatizo ya baadhi ya wachangiaji humu ni utoto mwingi ambao hufanya washabikie vitu vya kipumbavu. Hata najua kuna wanachadema ambao wanashangaa sana na hawa wazungu. Wakati wote hawa wazungu wamenyamaza magufuli akifanya mambo ya kipumbavu sana.

Kwa maoni yangu, WB walikuwa na haki zaidi ya EU kushikilia hela. Hata hivyo, mambo ya WB ni kuhusu elimu ya watoto wasichana. Haya ni mambo specific kabisa na niko na uhakika magu alirudi nyuma. Kwa wale wanaoshabikia eti WB wamerudisha hela, nadhani hao ni watoto sana. Benki ya Dunia haijatoa mkopo huo, bali imesema itatoa. Ni mpumbavu asiyekumbuka miaka za Moi kuhusu ahadi za WB za 'tuta'.

Kuhusu EU, hili ni jambo ambalo lafaa likemewe na wengi wetu. Kwanini wazungu walingoja hadi mambo ya kishoga yaje ndiposa wasingizie ati "haki za kibinadamu?" Sisi kama Kenya tusimtegemee mzungu au hata mchina. Ni vyema tujipende wenyewe na tuanze na EAC. Huu upuuzi wa TZ kujifanya na kujitenga utaigharimu sana. Kuungana na kufanya mambo kama nchi za kiafrika ndio njia pekee ya kujikinga na tactics hizi. Tujifunze kujitegema kwa kuwapenda watu weusi. Tatizo ni kuwa waafrika tunafanyiana maovu kuliko jinsi tunavyomfanyia mzungu.

Licha ya utani wa humu jukwaani, sitaki kuona uchumi wa TZ ukivurugwa kisa upumbavu wa mashoga. Hawa watu sio eti huleta hela nyingi sana (haswa Kenya). Tatizo ni kuwa sisi tuko very vulnerable kwa financial system zetu. Sanctions zao kidogo tu zaweza kufanya shillingi ya KES ishuke kutoka 100 hadi 200 kwa mwezi mmoja. Wakipiga TZ kichapo, Sitashangaa kuona TZS imeshuka kutoka 2300 hadi 4600.
Mkenya wa kushirikiana nae?? Sasa hivi mnaweza kushirikiana na WaAfrika wenzenu badala ya kuwasnitch kwa wazungu?
 
hahaaa mbele ya mikopo na misaada magu anakuwa mfogo kama piriton mazeee dah! aibu kweli kweli, hata ile mikwara leo haipo, ni kukenua full mdomo!
 
Wachina ule mchezo wanao kitambo sana, hawajahalalisha ndoa tu, ila kumegana China ruksa. Mchezo umeanza kabla hata hawajavuka mipaka enzi hizo za dynasties. Watawageuza mkiwakumbatia.

Swali la msingi, huo mchezo wa kumegana walilazimishwa na mtu kama ilivyo kwetu? Wao wana jeuri ya kufanya maamuzi yao ya watakavyoishi ndani lakini sio kwa Mwafrika. Hapa Afrika ataibuka na mikwara leo, halafu apigiwe simu ghafla ananywea na kuwa mdogo.
 
Wakenya bana.... yaani nlijua utawaambia wenzako wajikwamue kutoka kwenye kuomba kuomba, kumbe huna akili izo, akili zako zinakwambia uendelee kuomba lakini kwa mchina. Haya basi, ngoja mchina ajitangazie Mombasa yake kwa kushindwa kumlipa 😀
 
Write your reply...
acha uongo boya wewe hapo kenya midume inaoana kabisa na harusi juu..Uhuru hana ubavu wa kupinga ushoga!
 
Back
Top Bottom