Wakenya tujitokeze kuishabikia Gor Mahia dhidi ya Yanga ya Tanzania

Wakenya tujitokeze kuishabikia Gor Mahia dhidi ya Yanga ya Tanzania

mtani jembe zote yanga wametoka vilaza,yanga kila mech anayocheza na simba lazima apigwe hata kama sio mtani jembe,nenda misri wanavyoiogopa simba.mi nitakupa jezi ya simba iliyoandikwa MK254 kisha uhamie kwa wakali wa msimbazi watoto wa jiji city center kariakoo, usipoteze muda wako kwa wana ccm yanga
Unambwembwe ndugu hahaa PAMOJA SANA
 
Last edited by a moderator:
Duh! usinikumbushe majungu niliyokua nayo hiyo siku, yaani tumeshinda tatu bila halafu wapuzi wanaachia kijinga jinga zote zinalipwa. Nilinuna kishenzi, afu Simba wakishinda mechi huwa hakukaliki, wataimba kuhusu huo ushindi kila siku, hadi maofisini mjini....yaani kero.Halafu shida nyingine, Simba wana njaa sana, hawana hela, hebu ona mgogoro wao na 'Messi' wanamg'ang'ania kwa kulazimisha mkataba wakati wameshindwa kumlipa. Waache akina Azam wenye uwezo wamchukue jamaa.
Du! yaani hapa ndio umenichokoza kabisa MK254 tatizo leo nimekuwa bize huku sikunusa leo ningekunyamanzisha lazima utambue mashabiki wakweli wanapatikana SIMBA ushangiliaji wakweli unapatikana SIMBA, sie kuwa wakishinda ni kelele hapana ndio uasili wa mashabika wa SIMBA wakiingia sehem utajua kuwa kuna wapenzi waukwelikweli
 
Haya bwana, ila mara ya mwisho Simba kushinda ligi ya taifa ilikua lini....mbwembwe tu.
 
Mshindwe kujitokeza mashindano yakiwa kwenu mjitokeze yakifanyika Bongo. Kichekesho.
 
Mshindwe kujitokeza mashindano yakiwa kwenu mjitokeze yakifanyika Bongo. Kichekesho.
Unacheza aisei, hivi unajua jinsi mashabiki wa Gor hujitokeza ama unaongea. Hadi na Limo.
 
Last edited by a moderator:
Unacheza aisei, hivi unajua jinsi mashabiki wa Gor hujitokeza ama unaongea. Hadi na Limo.

namnukuu victor wanyama "bongo kuna idadi kubwa ya mashabiki wa soka kuliko hapa kenya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom