mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
simply wewe ni kilaza.Acha utoto, tumia facts, ripoti ya CAG wenu ilionesha kwamba Tzsh2.4Trillion(zaidi ya KES 100Billion) zilitafunwa mwaka wa 2016/17. Rudi kwenye mada, ambayo ni kwamba hata wanahabari pia wamenyamazishwa. Hawewezi kabisa wakaripoti kuhusu ufisadi, hata kama ni wa milioni 10 tu.Magufuli loses battle against corruption - Sauti Kubwa
TANZANIA’s President John Magufuli, once hailed by western media as a “bulldozer of graft” has officially lost the battle against corruption. While he enjoys branding himself as a corruption fighter, audit reports show that he is presiding over a corrupt government that spends billions of public...sautikubwa.org