Wakenya tujivunie, tuzidi kuwa wajasiri na tutembee vifua 'mbere': Miaka miine ya uoga, kunyamazishwa na kukandamizwa nchini Tz- Amnesty International

Wakenya tujivunie, tuzidi kuwa wajasiri na tutembee vifua 'mbere': Miaka miine ya uoga, kunyamazishwa na kukandamizwa nchini Tz- Amnesty International

Acha utoto, tumia facts, ripoti ya CAG wenu ilionesha kwamba Tzsh2.4Trillion(zaidi ya KES 100Billion) zilitafunwa mwaka wa 2016/17. Rudi kwenye mada, ambayo ni kwamba hata wanahabari pia wamenyamazishwa. Hawewezi kabisa wakaripoti kuhusu ufisadi, hata kama ni wa milioni 10 tu.
simply wewe ni kilaza.
 
simply wewe ni kilaza.
Kuna lile jukwaa la mahusiano na mapenzi na sijui urafiki, MMU. Nakushauri upeleke upumbavu wako huko. Huna uwezo hata kidogo wa kung'amua hoja zinazojadiliwa kwenye jukwaa hili.
 
Kuna lile jukwaa la mahusiano na mapenzi na sijui urafiki, MMU. Nakushauri upeleke upumbavu wako huko. Huna uwezo hata kidogo wa kung'amua hoja zinazojadiliwa kwenye jukwaa hili.

Hawa ndio unajadili nao

2257396_IMG_20191230_125043.jpeg
 
Kuna lile jukwaa la mahusiano na mapenzi na sijui urafiki, MMU. Nakushauri upeleke upumbavu wako huko. Huna uwezo hata kidogo wa kung'amua hoja zinazojadiliwa kwenye jukwaa hili.
unataka nikuelekeze sehemu katika hii platform wanakutana wenye akili kubwa kujadili[emoji28][emoji28][emoji28],sio hapa kwa wajinga wasiojua tofauti ya wizi wa Ksh 100 na Ksh 40bln.

narudia tena wacha ujinga kwa faida ya watoto wako.
 
Kitu hunifurahisha kwa Wakenya ni jinsi huwa tunaungana kulaani ukiukwaji wowote wa haki za kibinadamu, unakuta hata mtu ambaye hushabikia serikali anaibadilikia na kuikosoa, ila kwa wenzetu nilishangaa sana jamaa wa CCM wanashangilia pale Tundu Lissu alipigwa risasi 38.
Tanzania ina Wapumbavu na Waoga wengi.

Huo ni ukweli na uwazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti leo hii usikie kwamba rais Uhuru amepiga marufuku shughuli zote za vyama vya kisiasa hadi 2022, tena vyama vya upinzani pekee yake! Alafu eti wakenya wanyamazie hivyo tu bila kumpa jibu wakati ni haki yao tena live kwenye katiba? Vitu ambavyo Amnesty International na Human Rights Watch wanazungumzia ni vitu ambavyo ukisikia vinafanyika Afrika Mashariki utaona aibu. Naona wameangazia sana Twaweza walivokatazwa kutoa ripoti kuhusu kura yao ya maoni 'Sauti za Wananchi'. Ambayo ilikuwa inaashiria kwamba umaarufu wa mzee ulikuwa umepungua kwa kiasi kikubwa. Kwa kweli hiyo move ilikuwa ya kiboya kupindukia, hivi mzee huwa hana watu wa kumshauri?
Tanzania ina watu mithili ya kondoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unataka nikuelekeze sehemu katika hii platform wanakutana wenye akili kubwa kujadili[emoji28][emoji28][emoji28],sio hapa kwa wajinga wasiojua tofauti ya wizi wa Ksh 100 na Ksh 40bln. narudia tena wacha ujinga kwa faida ya watoto wako.
Kichwa boga wewe, kumbe najadili na mtu ambaye hata hajui Trillion ni nini? [emoji1][emoji1][emoji1]
sio tillion*.... ni trillion
uliyeambiwa tz anaweza kupiga tillion moja ni nani?? hiyo hela ishia kuisikia hivyo,acha na maneno za siasa.bajeti nchi nzima tillion 30 na kuna wakati haitimii.wizara zinazomaliza tillion 1 kwa mwaka hazifiki tatu tz.
ni kama sisi huwashangaa nyinyi mkitaja sent,tunajiuliza hizo ni gani nazo hizo. kwani kwenye currency yenu hakuna tillion[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kichwa boga wewe, kumbe najadili na mtu ambaye hata hajui Trillion ni nini? [emoji1][emoji1][emoji1]
wewe unajua trillion ni nini??au unajua kuiandika tu!!ungekuwa unaijua usingekubali mtu anaweza iiba kipuuzi namna hiyo.ndio wanasiasa wenu hutumia ujinga wenu vibaya mkiambiwa chochote tu mnakubali mnaanza kutoana matumbo barabarani.

yet mnajiita mmelimika zaidi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23].aisee
 
Duh,kweli uhuru wa kujieleza kwa tanzania umefikia pabaya,hadi raia kwa raia mnatishana sasa,usije tu kumteka.

Sent using Jamii Forums mobile app
nimteke nimpeleke wapi labda nikambake.

namtahadharisha tu,kama ana nafasi ajitokeze vyema ajieleze ataeleweka sio anakuja kujibaraguza huku kwa wanawake wa kikenya.
 
Kitu hunifurahisha kwa Wakenya ni jinsi huwa tunaungana kulaani ukiukwaji wowote wa haki za kibinadamu, unakuta hata mtu ambaye hushabikia serikali anaibadilikia na kuikosoa, ila kwa wenzetu nilishangaa sana jamaa wa CCM wanashangilia pale Tundu Lissu alipigwa risasi 38.
Uhuru wa kuongea umeondoa rushwa nchini kenya! Umeondoa uwezrkano wa kuingia mikataba ya kijinga kama ule wa SGR. Umerudisha ardhi inayomilikiwa na 10% ya matajiri nchini kenya!! Uhuru wa kuongea umetusaidia ss wakenya kuish kwa usawa!! TUNAJIPONGEZA SANA SISI WAKENYA!!
 
Uhuru wa kuongea umetuondolea kero nyingi sana maana ukilinganisha na miaka ya themanini ambapo Kenya ilikua kwenye giza kama ilivyo Tanzania ya leo, tuliishi kwa dhiki sana, nchi yetu ilikua maskini kama ilivyo yenu leo hii, lakini taratibu tukafaulu kuyabadilisha hayo yote, leo hii uchumi wa Kenya ni karibia mara mbili ya Tanzania.

Hivyo uhuru wa kujieleza ni kitu cha msingi kwa watu, hata uwajengee nini wala nini lakini umewabana wasiseme, yote hayo wataona zero.
 
Sasa majirani watanzania wenyewe kama tuna akili za watu kama kina Kawe Alumni mnategemea tutajipigania saa ngapi
 
Uhuru wa kuongea umetuondolea kero nyingi sana maana ukilinganisha na miaka ya themanini ambapo Kenya ilikua kwenye giza kama ilivyo Tanzania ya leo, tuliishi kwa dhiki sana, nchi yetu ilikua maskini kama ilivyo yenu leo hii, lakini taratibu tukafaulu kuyabadilisha hayo yote, leo hii uchumi wa Kenya ni karibia mara mbili ya Tanzania.Hivyo uhuru wa kujieleza ni kitu cha msingi kwa watu, hata uwajengee nini wala nini lakini umewabana wasiseme, yote hayo wataona zero.
Achana nao, bado hawajagutuka wakajua walipo. Uhuru wa kujieleza ndio ulipelekea tukafanikiwa kwenye mchakato wetu wote wa kupata katiba mpya. Tena shinikizo la wananchi lilikuwa sio kwa kuomba, bali kuamrisha kwamba wanataka katiba mpya kupitia maandamano. Leo hii uwazi ambao upo, kama kuona mijadala ya bunge live, usaili wa watumishi wa umma ambao ni wateule wa rais kwenye ngazi za juu serikalini, mihimili kuwa huru ni kizungumkuti kwao. Hata mishahara ya viongozi wao hawakubaliwi kujua!
 
Uhuru wa kuongea umetuondolea kero nyingi sana maana ukilinganisha na miaka ya themanini ambapo Kenya ilikua kwenye giza kama ilivyo Tanzania ya leo, tuliishi kwa dhiki sana, nchi yetu ilikua maskini kama ilivyo yenu leo hii, lakini taratibu tukafaulu kuyabadilisha hayo yote, leo hii uchumi wa Kenya ni karibia mara mbili ya Tanzania.

Hivyo uhuru wa kujieleza ni kitu cha msingi kwa watu, hata uwajengee nini wala nini lakini umewabana wasiseme, yote hayo wataona zero.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapa ndio huwa sioni tofauti ya mkenya na kitimoto.

kwani sasa hivi sio kazi tena iliwatoa huko.

na mbona bado mnapewa mpaka mahindi ya msaada[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom